Friday, 6 May 2016

#MICHEZO>>>Harry Kane wa Tottenham Hotspurs donge nono lamtembelea.Fahamu zaidi hapa.

Mshambuliaji raia wa Uingereza Harry Kane 22,huenda akazawadiwa kwa mkataba mnono na klabu yake ya Tottenham Hotspurs kutokana na msimu mzuri.Mshambuliaji uyo anaelipwa paundi 50,000 kwa wiki atalipwa mara mbili ya mshahara huo ili kuepuka ushawishi wa vilabu kama Manchester United na Real Madrid klabu zinazomuhtaji mchezaji huyo

0 comments:

Post a Comment