Home »
Michezo
» #MICHEZO>>>VIDEO# MAPOKEZI YA KOCHA MPYA WA AZAM ALIYEAHIDI KULETA STYLE YA BARCELONA.
Timu ya Azam FC inaonekana kumpa mkono wa kwa heri kocha wake wa sasa
STEWART HALL baada ya mtendaji mkuu wa timu hiyo Bw. Saad Kawemba
kuwapokea makocha wawili kutoka nchini Hispania kwa ajili ya mazungumzo
kuchukua mikoba ya Hall.
Bofya hapa chini kuona mapokezi hayo na ahadi za kocha huyo mpya.
VIDEO
Related Posts: #MICHEZO>>>MANE AELEZA EL HADJI DIOUF KUWA SHUJAA WAKE, ATAKA KUSHINDA TUZO YA AFRIKA KAMA YEYE.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Mshambuliaji
nyota wa Liverpool, Sadio Mane amesema angependa kushinda tuzo ya
mwanasoka bora Afrika kama ilivyo kwa shujaa wake.
Shujaa wake ni mshambuliaji mwingine wa zamani wa Liverpool, El Hadji Diouf.
El Hadj… Read More #MICHEZO>>>>KIUNGO MKABAJI AITWAYE CHAILA, AKUBALI KUTUA YANGA KUMFUATA LWANDAMINA.FAHAMU ZAIDI HAPA.
CHAILA (KULIA)...
Baada
ya kocha George Lwandamina kumalizana na Yanga, mchezaji wa kwanza
ambaye ataungana naye anaonekana kuwa ni Meshack Chaila kutoka Zesco ya
Zambia.
Taarifa
zinaeleza, Yanga tayari wamefany… Read More #MICHEZO>>>ZIMBABWE 3-0 TANZANIA (TAIFA STARS) 'LIVE' FULL TIME KUTOKA ZIMBABWE.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Timu ya Tanzania ‘Taifa Stars’
imeshindwa kutamba ugenini dhidi ya wenyeji Zimbabwe ‘The warriors’
baada ya kukubali kufungwa magoli 3-0 mchezo wa kirafiki wa kimataifa
uliochezwa uwanja wa Harare nchini Zimbabwe.
Daki… Read More #MICHEZO>>>>TAIFA STARS WAPO KAMILI KWA AJILI YA KUWAPA KAZI ZIMBABWE.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Kikosi
cha Taifa Stars kilitua salama na wachezaji wako tayari kwa ajili ya
kuwavaa wapinzani wao Zimbabwe katika mechi ya kirafiki mjini Harare,
leo.
Stard
imesafiri hadi mjini humo kwa ajili ya mechi ya… Read More #MICHEZO>>>NAPE ATUA NYAMAGANA NA KUWATUMIA UJUMBE WANAOUTUMIA UWANJA HUO KATIKA KAMPENI ZA UONGOZI.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Na Mwandishi Wetu, Mwanza
Waziri
wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Nape Nnauye amesema Uwanja wa
Nyamagana ambao umewekewa nyasi bandia ni juhudi za watu kadhaa, lakini
kodi ya wananchi wa mkoa wa Mwanza ndiyo il… Read More
0 comments:
Post a Comment