From @diamondplatnumz – Shukran sana sana Mkuu wa Mkoa wa Dar es
salaam @PaulMakonda kwa kututembelea katika Office zetu za @Wcb_Wasafi
jana usiku…. ujio wako Umetutia nguvu na Moyo mkubwa katika ufanisi wa
kazi zetu.
… Hakika wewe ni kiongozi wa pekee….Tunashkuru
kwa Ushauri, muongozo wako mzuri na Muda wako wa thamani ulioupendekeza
kwetu Jana!… ijapokuwa kaofisi ketu ndio kanaanza ila naamini uliona
tunavyo hakikisha kudhibiti na kuzingatia USAFI Kuanzia Ofisini hadi
Maeneo yatuzungukayo kama Mh Rais John Pombe na wewe Mlivyoagiza
0 comments:
Post a Comment