Wednesday 11 May 2016

#Tanzia>>>>Msanii wa Vichekesho Mohammed Abdallah (Kinyambe) Amefariki Dunia.Fahamu zaidi hapa.


Mchekeshaji aliyekuwa anakuja juu kwa kasi Mohammed Abdallah "KINYAMBE" amefariki dunia jana usiku huko nyumbani kwao Mbeya. Mmoja wa wanandugu wa Kinyambe ameuthibitishia mtandao w Saluti5 kuwa msanii huyo wa filamu  ambaye pia alikuwa akijulikana kwa jina la James, amefariki baada ya kuugua kwa siku kadhaa. 

May 12 2016 ripoti zilianza kusambaa kwenye mitandao ya kijamii kwa baadhi ya mastaa wa filamu na Muziki nchini, kuhusiana nataarifa ya kufariki kwa mmoja kati ya wachekeshaji maarufu nchini Tanzania,  Mohammed Abdallah  (Kinyambe) kutoka kwenye maigizo ya Vituko Show.

0 comments:

Post a Comment