Home »
Habari Moto
» #YALIYOJIRI>>>>MACHINJIO VINGUNGUTI KUFUNGULIWA KESHO.Fahamu zaidi hapa.
Machinjio
ya Vingunguti yaliyofungwa na Mamlaka ya Chakula na Dawa Nchini (TFDA)
kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa kutokana na uchafu uliokithiri pamoja na
kuhatarisha afya za walaji nyama , yanatarajiwa kufunguliwa siku ya
Jumatatu baada ya kufanyika ukarabati mkubwa na uwekaji wa miundombinu
na maji uliogharimu kiasi cha Shilingi milioni.
0 comments:
Post a Comment