Home »
Habari Moto
» #YALIYOJIRI>>>NGONYANI : SERIKALI YA MAGUFULI SI YA MCHEZO.Fahamu zaidi hapa.
Naibu
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Injinia Edwin Ngonyani amesema kwamba
Serikali ya Awamu ya Tano ikisema jambo inamaanisha na ikiahidi inatenda
kama ilivyoahidi hivyo wananchi waiamini.
Ngonyani
ameyasema hayo Bungeni alipokuwa akijibu swali la Mbunge Juma Nkamia
(CCM) kuhusu kipande cha barabara kutoka chuo cha Mipango Dodoma kwenda
Msalato kiasi cha kilomota 8 na zaidi ambapo ziliahidiwa kujengwa..
0 comments:
Post a Comment