Home »
Habari Moto
» #YALIYOJIRI>>>RC SIMIYU AAGIZA UCHUNGUZI WA VIGOGO 6.Fahamu zaidi hapa.
Mkuu
wa Mkoa wa Simiyu Antony Mtaka amemwagiza Kamanda wa Takukuru Mkoa wa
Simiyu kuwaongeza katika kesi ya watumishi sita wa Halmashauri ya
Bariadi kwa matumizi mabaya ya madaraka baada ya tuhuma za ujenzi wa
banio la umwagiliaji wa Kijiji cha Kungulyambeshi na kusababishia
serikali hasara ya shilingi milioni 600 ambapo kukamilika kwa mradi huo
ni bilioni 1.4 .
Kufuatia agizo la siku tano la Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Antony Mtaka kwa Mkurugenzi Mtendaji na Mkuu wa Wilaya
0 comments:
Post a Comment