Jengo lililoko eneo la akiba posta jijini
Dar es salaam limeripotiwa kuwaka moto kuanzia majira ya jioni na chanzo
cha moto huo kinasemekana ni mtungi wa gesi kulipuka na kusababisha
moto.
Inasemekana hakuna madhara makubwa kutokana na zimamoto kufika kwa wakati katika eneo la tukio.
Magari ya zimamoto yakiwa eneo la tukio na kuanza Shughuli za uzimaji
moto katika jengo la NSSF lililopo eneo la Akiba jijini Dar es Salaam
mud huu. Moto huo inasemekana hakuna madhara makubwa yaliyojitokeza
kutokana na watu wa zimamoto kufika kwa wakati katika eneo hilo
0 comments:
Post a Comment