Ni stori ambayo aliitoa kipindi cha nyumba kidogo lakini leo nimeona niwaletee na ninyi mtazame akielezea kilichomkuta na mpaka kupotea kabisa katika anga za muziki wa Bongo Flava.....Its so touching yaai i cant watch this twice. she is a good woman, really strong african woman i like her style, naona rap style yake imebadilika. i like the song Ushaurinwa bure, I think she can do wonders akifanya talk show. there are so many women going through such paths, imagine hearing these stories from Tanzanian women waliopo Tz
Tuesday, 20 September 2016
Home »
Burudani
» #BURUDANI>>>>Stori ya Kusikitisha ya Mwanamuziki Rah P Baada ya Kuwa Mapenzini na Mwanamume Muuza Madawa ya Kulevya.Fahamu zaidi hapa.
#BURUDANI>>>>Stori ya Kusikitisha ya Mwanamuziki Rah P Baada ya Kuwa Mapenzini na Mwanamume Muuza Madawa ya Kulevya.Fahamu zaidi hapa.
Related Posts:
Zamaradi Mketema Awa Mtangazaji wa Kwanza Kuingia Wasafi TV & Radio. Kama mada inavyoonekana,aliyekuwa baby mama wa Ruge Mutahaba Zamaradi Mketema ajiunga rasmi na Wasafi TV inayomilikiwa na Diamond Platnumz.Picha ni Zamaradi akiwa na Timu nzima ya WCB Wakiwa Zanzibar Kwa Ajili ya usaili wa … Read More
Mwimbaji Misri Afungwa kwa Kuikashifu Mto Nile. Mwimbaji wa Misri Sherine Abdel Wahab amehukumiwa miezi sita gerezani kwa kutania juu ya hali ya usafi wa mto Nile. Sherine, ni mmoja wa waimbaji maarufu nchini humo pia ni jaji katika kipindi cha mashindano ya waimbaji,… Read More
EXCLUSIVE:Video ambayo inayoonyesha Hoteli aliyojenga Mr. II SUGU Mbeya. Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa &n… Read More
Bell 9 Aleta Kali Aifananisha Basata na Baba Asiyejua Jina la Mwanaye. Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Belle 9 amelishangaa Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) kwa kushindwa hata kuwajua wasanii japo hata kwa majina.Belle 9 amesema hayo baada ya BASATA kuchanganya majina kwa kumtaja kwenye orod… Read More
Maneno ya Izzo B, Rama Dee na Niki wa Pili Muda Mchache Baada ya Sugu Kuhukumiwa Miezi 5. Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi na mwenzake Emmanuel Masonga wamehukumiwa kwenda jela miezi mitano na Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Mbeya leo Februari 26, 2018 baada ya kukutwa na hatia kutumia lugha ya fedhea… Read More
RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment