GIGY Money Afunguka Kutoa Mimba Mbili.
MUUZA sura kwenye video za wasanii Bongo, ambaye mwili wake
‘umepukutika’ ghafla, Gift Stanford maarufu kama Gigy Money, amekiri
kutoa mimba mbili mfululizo ambazo ndizo zilizosababisha hali hiyo.
Akizoza na Za Motomoto …Read More
YUSUPH Manji Afumwa na Jora 43 za Nguo za Jeshi na Mihuru 39.
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam linamshikilia
Mfanyabiashara maarufu nchini, Yusuf Manji kwa mahojiano baada ya
kukutwa na jora 43 za sare za Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania
(JWTZ) pamoja na …Read More
0 comments:
Post a Comment