Friday 14 April 2017

Mkapa Amteta Rais Magufuli Kimafumbo..Adai Kiongozi Bora Ni Mvumilivu na Msikilizaji.Fahamu zaidi hapa.

Mkapa amesema mambo ya kuzingatia ktk uongozi bora ni kuwa msikilizaji, mvumilivu na kupenda kusoma mambo ya ndani na nje ya nchi.
Mkapa aliyasema hayo kwenye kongamano maalum la maadhimisho ya kumbukuzi ya Mwalimu Nyerere.
Je hii huenda ni dalili kuwa atatoa kauli kumkemea Rais Magufuli?


Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa

                            Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa

0 comments:

Post a Comment