Friday 14 April 2017

Lugumi Aitafuna Serikali ya Magufuli..Apiga Bilioni 41 na Kutokomea Nazo Bila Kufanya Kazi.Fahamu zaidi hapa.

Huu wa safari hii ulisainiwa Idara ya Uhamiaji wa kufunga 'E imigration System'
Aliwasilisha mikataba miwili ya kazi moja kwa bei tofauti. Mmoja TZS bil. 37.1 na mwingine wa TZS Bil. 39.5. Hata hivyo wakati wa utekelezaji jumla ya kiasi cha TZS Bil. 41.5 kililipwa.
Wajumbe 2 wa kamati ya tathmini waligoma kusaini.
Vituo 36 kati 152 havikufungwa mfumo huo kinyume na mkataba
Baadhi ya vifaa vilikuwa vya gharama ya juu zaidi ya bei ya soko kwa zaidi ya TZS Bil. 5.964
Pakua mzigo mzima hapa (Ripoti ipo katika Lugha ya Kiswahili)


Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa

                            Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa

0 comments:

Post a Comment