Home »
Burudani
» MAKUBWA! Baby Madaha na Isabela Wahisiwa Wanasagana.Fahamu zaidi hapa.
Kioja! Mastaa wawili wasioishiwa vituko
wanaounda Kundi la Muziki la Scorpion Girls, Baby Madaha na Isabela
Mpanda, wikiendi iliyopita waliwaacha watu midomo wazi baada ya
kujiachia kimahaba kama mtu na mpenziwe.
Baby Madaha na Isabela walilishana keki
kwa staili ya njiwa ‘kugusanisha midomo’ ikiwa ni kwenye sherehe ya
bethidei ya Isabela iliyofanyika katika Hoteli ya Belinda iliyopo Mbezi
Beach jijini Dar.
Akizungumza katika ishu hiyo, mmoja wa
wahudhuriaji ambaye hakutaka jina lake litajwe gazetini, alisema tukio
hilo ni la kushangaza kwani linaashiria kuna kitu kingine nyuma ya pazia
kwa wasanii hao marafiki wa muda mrefu.
“Kiukweli Isabela na Baby wamenishangaza
sana, maana kulishana huko keki kama mtu na mpenzi wake inaashiria kuna
kitu nyuma ya pazia, inawezekana wenzetu ni wapenzi wa jinsia moja
(wasagaji), maana siyo kwa ukaribu huo tena hadharani, hawaogopi hata
watu tuliopo hapa jamani, kweli dunia imevaa koti,” alisema mmoja wa
wahudhuriaji.
Alipoulizwa Isabela kulikoni kulishana
keki na Baby kama wapenzi, alisema jambo hilo ni la kawaida tu kwa kuwa
ni marafiki na hakuna kitu kingine chochote kinachoendelea kati yao.
“Sisi ni marafiki na tumeshakuwa kama ndugu hivyo kulishana keki hivi
kwa mdomo ni upendo tu na hakuna mambo ya usagaji kama wengi wanavyohisi
wala nini,” alisema Isabela.
Na GLADNESS MALLYA/GPL
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
Related Posts:
Darasa Asideal na Muziki Kwa Sasa, A Deal na Kukuza Brand Yake.Fahamu zaidi hapa.
Producer wa muziki anayekuja juu kwasasa hapa nchini
ambaye anafanya kazi katika studio za Mj Records,
Daxo Chali amefunguka kupitia kipindi cha Bongo.Home
cha @timesfmtz na kudai kwa sasa @darassacmg asiumize
tena kich… Read More
Mtoto wa Ray, Jaden afuata nyayo za Tiffah na Nillan wa Diamond...!!!..Fahamu zaidi hapa.
Tiffah ni mtoto maarufu zaidi kwenye
mtandao wa Instagram Afrika akiwa na followers zaidi ya milioni moja.
Mdogo wake, Nillan naye anafuata nyayo zake akiwa na followers zaidi ya
99k sasa. Akaunti zao husimamiwa na mama… Read More
Nay Bwanaa!! Eti Nayeye Kaamua Kutaja Wasanii Wake Watano Wanaomkuna..!!!..Fahamu zaidi hapa.
Rapa Nay wa Mitego ameweka wazi wasanii watano wakali wa hip hop ambao
amekuwa akiwasikiliza na kuwakubali siku zote kutokana na kazi zao
katika muziki wa hip hop Tanzania.
Nay
wa Mitego alisema hayo kwenye kipi… Read More
Ujumbe wa Mbasha Instagram Wazua Maswali Mazito,Kumbe Alikuwa Mume Bwege Ili tu Anusuru Ndoa Yake..!!..Fahamu zaidi hapa.
LEO Januari 21, 2017 mwimbaji wa nyimbo
za Injili hapa Bongo, Emmanuel Mbasha ameweka wazi kuwa jambo la
kuelewana kwenye masuala la ndoa siyo la ‘kitoto’, linahitaji mmoja kati
ya wanandoa ajifanye mjinga ili uhusiano … Read More
Dokii ashindwa kujizuia kwa Darasa.Fahamu zaidi hapa.
Msanii wa siku katika anga la maigizo na muziki Bongo, Dokii
ameshindwa kuzuia hisia zake za mahaba kwa rapa darassa anayekiki zaidi
kwa sasa hapa Bongo na ngoma yake ya Muziki, na kuamua kueleza wazi kuwa
anampenda san… Read More
0 comments:
Post a Comment