Home »
Michezo
» Fainali za Mataifa ya Afrika (Afcon) Mwakani Kupigwa Uwanja wa Uhuru.
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe ametaja viwanja vitakavyotumika katika mashindano ya vijana chini ya miaka 17 katika fainali za Mataifa ya Afrika (Afcon) mwakani.Waziri Mwakyembe alisema Uwanja wa Taifa utatumika kwaajili ya ufunguzi na kufungukia mashindano hayo, huku viwanja vingine vya Uhuru na Azam Complex Chamazi vikitumika katika mechi za mashindano hayo."Tunataka tufanye mabadiliko katika hizi nyasi bandia za uhuru tuweke mpya, lakini uwanja wa Gymkhana utatumika kwa mazoezi, bado kuna viwanja vingine tunaendelea kuvichagua ili timu zipate sehemu ya kufanyia mazoezi kwa urahisi," alisema Mwakyembe.Waziri Mwakyembe alisema wanajua wingi wa timu nane zinazokuja zitakuwa na viongozi, wachezaji na mashabiki hivyo wanajiandaa kuhakikisha wageni hao wanapata mahitaji yao mapema."Magari yanahitajika kwaajili ya kuwabeba wageni wetu hivyo inabidi yapatikane na kuandaliwa mapema, lakini pia tunajupanga juu ya suala la foleni wasiweze kukutana nalo,'' alisema.Mwakyembe aliongeza kwamba wanaendelea na maandalizi, wapo katika hatua nzuri kwa ajili ya mashindano hayo.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa
Related Posts:
#MICHEZO>>>Mtangazaji Edo Kumwembe Aula Supersport..Apata Deal la Uchambuzi wa Soka.Fahamu zaidi hapa.
Mchambuzi Mahiri wa Michezo Edo Kumwembe apata deal nono ya kuwa
mchambuzi wa Kiswahili wa Supersport chini ya DSTV, Ameandika haya
katika ukurasa wake wa Facebook mara baada ya kusaini mkataba:
"DEAL DONE. Am happy k… Read More
#MICHEZO>>>WAZIRI NAPE APOKEA UWANJA WA TAIFA WA UHURU, "SHAMBA LA BIBI" JIJINI DAR ES SALAAM.FAHAMU ZAIDI HAPA.
SERIKALI
imekabidhiwa rasmi uwanja wa Taifa wa Uhuru, (pichani juu), jijini Dar
es Salaam, leo Agosti 22, 2016, baada ya ukarabati mkubwa wa uwanja huo
kukamilika.Akipokea uwanja huo kwa niaba ya Serikali, Waziri w… Read More
#MICHEZO>>>>Mo Dewji Aanza Na Mishahara Simba SC.Fahamu zaidi hapa.
MFANYABIASHARA anayetaka kununua hisa ndani ya Klabu ya Simba, Mohamed
Dewji ‘Mo’, ameanza kasi ya kuitumikia klabu hiyo ya Simba kwa kuanza
kulipa mishahara ya wachezaji kuanzia mwezi huu huku suala la kununua
hisa lik… Read More
#MICHEZO>>>>Timu ya Simba Sasa Kuendeshwa Kwa Hisa..Mo Dewji Akabithiwa Timu.Fahamu zaidi hapa.
Kamati ya Utendaji ya Simba na mfanyabiashara, Mo Dewji leo wafikia makubaliano ya kuendesha Klabu ya Simba kwa mfumo wa hisa.
Hisa zitauzwa kwa wanachama wapya kwa taratibu mahususi, wanachama wa zamani watagawiwa hisa za… Read More
#MICHEZO>>>>DONDOO ZA RASIMU YA MKUTANO WA DHARURA ULIOKUBALI MANJI AKODISHE TIMU NA NEMBO, HUU HAPA HADHARANI.FAHAMU ZAIDI HAPA.
RASIMU ZA DONDOO YA MKUTANO WA DHARURA WA MWAKA WA YOUNG AFRICANS SPORTS CLUB AGOSTI 6, 2016.
1. SALA ZA UFUNGUZI
1.1. Sala ya Wakristo ilisomwa.
1.2. Sala ya Waislam ilisomwa.
2. UFUNGUZI WA MKUTANO… Read More
0 comments:
Post a Comment