Home »
Habari Moto
» Waziri Ndalichako Atishia Kukifunga Chuo cha Mount Meru.
Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako amekitaka Chuo Kikuu cha Mount Meru kilichopo Jijini Arusha kuacha mara moja utaratibu wa kutoa alama za makisio kwa Wanafunzi wanosoma chuoni hapo na wakiendelea Serikali itakifunga chuo hicho mara moja kwa sababu utaratibu huo haujawahi kutumika katika Chuo chochote Duniani.Waziri Ndalichako ametoa maagizo hayo alipotembelea katika Chuo hicho kuona miundo mbinu na namna wanavyo simamia utoaji wa elimu ya juu, ambapo amesema Wizara ilishatoa maelekezo kupitia Tume ya Vyuo Vikuu kuwa Chuo hicho kiwaondoe Wahadhiri ambao hawana sifa za kufundisha lakini agizo hilo mpka sasa halijatekelezwa.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa
Related Posts:
#YALIYOJIRI>>>Shahidi :Nilimsikia Kubenea akimwambia DC Paul Makonda ni kibaka,mjinga, mpumbavu na cheo chenyewe kapewa.Fahamu zaidi hapa.
Mratibu
Msaidizi wa Jeshi la Polisi, ASP Denis Mujumba, 39 ameieleza Mahakama
ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa akiwa Mkuu wa Upelelezi Magomeni alimsikia
Mbunge wa Jimbo la Ubungo Saed Kubenea akimwambia Mkuu wa Wilaya ya
K… Read More
#YALIYOJIRI>>>Jeshi La Polisi Zanzibar Lasema Halitambui Uwepo Wa Mazombi,Lapiga Marufuku Mtu Aliyepigwa Na Zombi Kutibiwa Bila Kuwa Na PF3.Fahamu zaidi hapa.
Jeshi
la Polisi Zanzibar limewataka madaktari kuacha kuwahudumia watu
wanaokwenda hospitali baada ya kupigwa na kikundi cha watu wasiojulikana
cha mazombi bila ya kuwa na fomu ya matibabu (PF3).
Akizungumza
na … Read More
#YALIYOJIRI>>>Dk Phillip Mpango Akataa Kuwa Waziri OmbaOmba,Asema Serikali Haipo Tayari Kukubali Ndoa Za Mashoga Kisa Misaada Ya Wahisani.Fahamu zaidi hapa.
WAZIRI
wa Fedha na Mipango, Dk Phillip Mpango amesema hatua ya Serikali ya
kukusanya kodi kwa nguvu kwa baadhi ya wafanyabiashara waliotorosha
makontena bila kulipiwa ushuru, haikuwa lengo la kumkomoa mtu, bali
ilileng… Read More
#YALIYOJIRI>>>Wanafunzi 21 Wafukuzwa Shule Kwa Muda Usiojulikana,Kosa Lao Ni Kuvaa "YeboYebo", Mwalimu Wa Zamu Alizichukua na Kuzichoma Moto.Fahamu zaidi hapa.
Wanafunzi
wapatao 21 wanaosoma Shule ya Msingi Kilambo cha Mkolechi, Kata ya Kala
mwambao mwa Ziwa Tanganyika wilayani Nkasi, wamefukuzwa shule kwa muda
usiojulikana kwa kuvaa viatu maarufu yeboyebo.
Imeelezwa
kwam… Read More
#YALIYOJIRI>>>>Vyama 9 Havitashiriki Uchaguzi wa Marudio Zanzibar.Fahamu zaidi hapa.
Maalim Seif Sharif Hamad
Vyama tisa vya siasa kati ya 14 vilivyoshiriki Uchaguzi Mkuu Zanzibar
mwaka jana vimeungana na CUF kutoshiriki uchaguzi wa marudio uliopangwa
kufanyika Machi 20, hadi utakapopatikana mwafaka w… Read More
0 comments:
Post a Comment