Home »
Habari Moto
» Marekani Yatoa Neno Kuhusu Mauaji Yanaoendelea kwa Viongozi wa Chadema.
Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania umeweka wazi kusikitishwa na taarifa za kutekwa na utumiaji nguvu kikatili uliosababisha kifo cha Katibu wa CHADEMA kata ya Hananasifu Daniel John.
Taarifa hiyo kutoka ubalozi wa Marekani kwa vyombo vya habari imesema kwamba tukio hilo la mauaji la makabiliano ya kihasama na vitendo vya kikatili ni jambo linalotia wasiwasi na kusikitisha sana.
‘’Tunatuma salamu zetu za rambirambi kwa familia na marafiki wa marehemu kwa msiba huu. Tunatoa wito kwa vyama vyote kulinda amani na usalama wa mchakato wa kidemokrasia, taifa na wa watu wa Tanzania’ ’imesema taarifa hiyo.
Aidha taarifa hiyo imeongeza kwamba ‘’Tunaungana na Watanzania katika kutoa wito wa kufanyika kwa uchunguzi wenye uwazi ili kuwawajibisha wale wote wanaohusika na vitendo hivi vya kikatili kwa mujibu wa sheria za Tanzania".
Kiongozi wa CHADEMA kata ya Hananasif Kinondoni, Daniel John ameuawa kwa kukatwa mapanga baada ya kuamriwa kuingia kwenye gari na baadaye mwili wake kuokotwa kwenye ufukwe wa ,Coco Beach' ukiwa umekatwa mapanga sehemu mbalimbali.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa
Related Posts:
Kuhusu Issue ya Njaa,Warioba Afunguka ,Adai Nchi Ina Njaa Kali,Aitaka Serikali ya JPM kugawa Chakula Haraka.Fahamu zaidi hapa.
WAZIRI Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba,
amesema zipo kila dalili ya nchi kukumbwa na upungufu wa chakula, hivyo
wanasiasa bila kujali itikadi zao, wanapaswa kuungana kubuni mikakati na
hatua za kuchukua kudhibiti hali… Read More
Rais Wa Gambia Akubali Kuachia Madaraka.Fahamu zaidi hapa.
Yahya
Jammeh ambaye amekua madarakani na kuingoza Gambia kama Rais kwa miaka
22 hatimae amekubali kuachia madaraka hayo na sasa Adama Barrow
aliyetangazwa mshindi kwenye uchaguzi mkuu ndio anatarajiwa kuchukua
nafasi.
… Read More
Hivi Ndivyo Obama Alivyomuaga Trump na Kumuachia Ikulu ya Marekani..!!!..Fahamu zaidi hapa.Wakiagana.
Kutoka
kushoto ni First Lady Melania Trump, Karen Pence, Rais Donald Trump,
Makamu wa Rais Mike Pence, Barack Obama, Joe Biden, Michelle Obama na
Jill Biden wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kupanda helik… Read More
BIFU KALI : CHADEMA WAANZISHA KAMPENI YA KUUPINGA MTANDAO WA VODACOM,WATAKA WATU WATUPE LINE ZA VODA.FAHAMU ZAIDI HAPA.
::Voda bye bye:: #VunjaLineYaVoda. #StopVodacom
Kuhusu Vodacom kuwa shahidi upande wa Jamhuri
Kampuni ya simu ya vodacom imekubali kutoa ushahidi dhidi ya kesi inayomkabili Mh Lema mbunge wa Arusha mjini!
Kampuni ya ipho… Read More
Wanaosoma Diploma Sasa Kupewa Mikopo na Bodi ya Mikopo (HESLB).Fahamu zaidi hapa.
Serikali
imewasilisha pendekezo la mabadiliko ya Sheria ya Bodi ya Mikopo ya
Elimu ya Juu ili kuwezesha wanafunzi wanaochukua Stashahada katika
vipaumbele vya kitaifa, kupewa mikopo ya kuwawezesha kuchukua elimu
husika… Read More
0 comments:
Post a Comment