Home »
Habari Moto
» VIDEO: 'Serikali Inafurahia Viongozi Wa Upinzani Wanavyouwa?' Mtatiro Afunguka.
Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Chama cha Wananchi CUF, Julius Mtatiro amesema kukaa kimya kwa Serikali pindi wanapouawa Viongozi wa Vyama vya Upinzani kunaashiria kuwa Serikali inafurahia vifo hivyo hali ambayo inawafanya wauaji waendelee kufanya mauaji hayo kwa kuwa hawakemewi na Serikali. TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI:
VIDEO
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>> >>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>> Bonyeza Hapa
Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa
Related Posts: Juu ya Jina la Bashite,Wadai ni Lake Kabisa,Wamshangaa Kujiita Paul,Wadai Toka Apate Madaraka Kawasusa Huko Kijijini.Fahamu zaidi hapa.
Mzee Khamesse
Kutokana na kuwepo kwa taarifa za Paul Makonda kulelewa katika familia
ya aliyekuwa Meya wa Jiji la Mwanza, Seleman Khamesse, JAMHURI limefika
nyumbani kwa Mzee Khamesse, katika eneo la Nyamanoro, jijini M… Read More Zitto Kabwe: Rais Magufuli Amemzuia RC Makonda Kutokea Mbele ya Kamati ya Bunge.Fahamu zaidi hapa.
Anaandika Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kusini Mhe Zitto Kabwe.
Rais Magufuli amemzuia RC Makonda kutokea mbele ya Kamati ya Bunge ya
Haki, Kinga na Madaraka kujibu tuhuma zake dhidi kudharau wabunge Kama
Bunge lilivy… Read More Kimenukaa..Gwajima Ajitwika Msalaba wa Nape Kutumbuliwa,Ataja Chanzo cha Magufuli Kumtumbua Nape Haraka Haraka.Fahamu zaidi hapa.
Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima,Josephat Gwajima amesema kuwa
yeye ni sababu kubwa ya kutenguliwa kwa Waziri wa habari,utamaduni,Sanaa
na Michezo Nape Nnauye.
Akizungumza leo (Alhamisi) baada ya kutembelea Of… Read More Video>>>Harmorapa Atimua Mbio Baada ya Kuiona Bastola Aliyotishiwa Nape.
Leo Rais Magufuli ametengua uteuzi wa Nape Nnauye na nafasi yake amepewa Dr. Mwakyembe.
Baadaye
Nape Nnauye alitoa taarifa kuwa atazungumza na waandishi wa habari
lakini Meneja wa Hotel ambayo mkutano ulitakiwa ufanyik… Read More HIVI NDIVYO MTANDAO MAARUFU WA UINGEREZA ULIVYO MWANDIKA NAPE BAADA YA KUTIMULIWA UWAZIRI.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Tanzanian minister sacked after condemning TV intrusion
Tanzania’s information minister was fired on Thursday after he
criticised an ally of President John Magufuli who had stormed into a
television station accompanied… Read More
0 comments:
Post a Comment