Home »
Burudani
» Mkuu wa Wilaya ya Pangani Amshauri Mumewe Kuoa Mke wa Pili ...... Amuandalia Mavazi ya Kuolea.
Mkuu wa wilaya ya Pangani Bi. Zainab Abdallah, ameushangaza umma baada ya kumpongeza mume wake kwa kuongeza mke wa pili, kwani ni kitendo cha nadra sana kwa wanawake kufanya hivyo licha ya kuwa misingi ya dini inaruhusu.Kupitia ukurasa wake wa Instagram mkuu wa wilaya huyo ameandika ujumbe huku akiujulisha umma kuwa wazo la mume wake kuongeza mke wa pili lilitoka kwake, baada ya kuona majukumu ya kazi yanambana na kushindwa kutekeleza majukumu ya ndoa.“Assalaam Alaykum, nichukue nafasi hii kumpongeza Mume wangu kwa kuongeza mke wa pili. Kwa kuwa dini yetu ya Kiislam inaruhusu, wazo la kufanya hivyo lilitoka kwangu, kulingana na uzito wa majukumu yangu nalazimika mda mwingi kuwa mbali na nyumbani na hivyo mume wangu kukosa huduma za msingi”, ameandika Bi. Zainab Abdallah.Mheshimiwa huyo wa serikali ya wamu ya tano aliendelea kuandika kuwa ...”Namshkuru kwa kunielewa na kulifanyia kazi ombi langu, hatimaye nimempata mwenzangu wa kusaidiana naye majukumu mazito ya ulezi wa mume. Alhamdulillah, M/Mungu ametupa riziki na uwezo, hivyo tunapaswa kutumia neema hizi na wengine. Mavazi ya mume wangu nimeyaandaa mwenyewe, yaa rabb atupe stara inshaaAllah.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa
Related Posts:
Isabela ala bata Uganda na Ex wa Aunt Ezekiel, Jack Pemba.Fahamu zaidi hapa.
Aliyekuwa mpenzi wa msanii wa filamu Aunty Ezekiel, Jack Pemba
ameonekana akila bata nchini Uganda na aliyekuwa mpenzi wa zamani wa
Luteni Karama, Isabela Mpanda.
Muimbaji huyo wa Kundi la Scorpion Girl pamoja na wenzake… Read More
#BURUDANI>>>>Diamond Platnumz Amwagia Sifa za Kumwaga Zari Hassan...Aongelea Kuhusu Mimba ya Pili.Fahamu zaidi hapa.
Mkali wa smash hit iitwayo ‘Kidogo’, Diamond Platnumz amethibitisha ujio wa mtoto wake wa pili kutoka kwa mpenzi wake Zari.
Taarifa hizo staa huyo alizitoa leo August 21, 2016 kwenye mtandao wake wa instagram na kuyaandika… Read More
#BURUDANI>>>>Jibu la Mwimbaji Emmanuel Mbasha Kuhusu Kurudiana na Flora Mbasha.Fahamu zaidi hapa.
Kama utakuwa unakumbuka mnamo September 21,2015 moja ya stori kubwa
iliyogusa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania ni ishu ya Hukumu ya
Kesi ya Mwimbaji wa Gospel Tanzania, Emmanuel Mbasha ambapo alikuwa
anakabiliwa na … Read More
#BURUDANI>>>>Alikiba Kuisimamisha Dunia August 25.Fahamu zaidi hapa.
Hii ni kwa wale wakuu wote waliochoshwa na mziki wa maigizo, Kiki za
kipuuzi, sarakasi, show za play back, video za kucopy na kuungaunga,
show off za kitoto na mziki wa big jii.
Mark the date 25 August mwaka huu, Kingkib… Read More
#BURUDANI>>>Picha za Masanja na Mke wake Zazua Maswali Kwa Mashabiki wake..Wadai Mke wa Mchungaji Apaswi Kuvaa Hivyo.Fahamu zaidi hapa.
Baada ya Harusi ya Mchekeshaji Masanja na Mkewe iliyofungwa Jumapili
iliyopita wawili hao wameonekana kwenye picha mbali mbali wakijivinjari
Honey Moon huku mavazi yao yakileta mabishano kama kweli ni Baba
Mchungaj… Read More
0 comments:
Post a Comment