Home »
Burudani
» Kumbe Wema ndo Chanzocha Kuvunja Penzi la Diamond na Zari.... Zari Athibitisha Afunguka A-Z.
Unazikumbuka picha za Wema Sepetu na Diamond Platnumz zilizosambaa wakiwa wamekumbatiana kwa mahaba wakati wa sherehe ya kumkaribisha Maromboso au ‘Mbosso’ iliyofanyika mwezi uliopita katika hoteli ya Hyatt Regency Dar es Salaam?Basi tukio lile ndio limesababisha Diamond kuweza kupigwa chini na mama watoto wake, Zari The Bosslady.Akiongea katika kipindi cha runinga cha Dira ya Dunia ya BBC Swahili, Zari amesema, “Tulikuwa tunajaribu kuona we can move from hiyo sikendo ya kupata mtoto. So we can move forward lakini vitu kama hivyo leo unasikia hivi unaona vile sijui kukumbatiana huko na maex kwenye public vitu vya kunidhalilisha, kunifanya niwe very disrespect na watoto wangu unaona tu like it’s just not right.”
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa
Related Posts:
Mapacha Waishi na Mwanamme Mmoja Kwa Furaha.Fahamu zaidi hapa.
MAPACHA
wawili wa kike wanaofanana, waitwao Anna na Lucy, wameamua kuishi na
mwanamme mmoja aitwaye Ben Bryne mwenye umri wa miaka 32 huko Perth,
Australia.
Wanawake
hao wanaishi na mwanaume huyo mmoja kwa kipin… Read More
Baada ya Soulja Boy Kumpata Mwalimu Mayweather, 50 Cent Amvuta Mike Tyson Kumtrain Chris Brown.Fahamu zaidi hapa.
BAADA YA SOULJA BOY KUMPATA MWALIMU
MAYWEATHER, 50 CENT AMVUTA MIKE TYSON
KWA AJILI YA KUMTRAIN CHRIS BROWN
It’s going down for real, pambano la ngumi kati ya Chris Brown na Soulja
Boy linazidi kuwashawishi watu maarufu k… Read More
Diamond kufunika ufunguzi wa Kombe la Mataifa ya Afrika ‘AFCON 2017’.Fahamu zaidi hapa.
Ule
wimbo unaosikika mtaani wa ‘pesa kupotea mifukoni’ haumhusu Bosi wa
WCB, Diamond Platinumz anayeendelea kuzihesabu ‘deals’ kubwa zaidi za
matukio ambayo dunia nzima inayaangalia kwa macho yote.
Siku
chache baada… Read More
AY amtaja R Kelly wa bongo.Fahamu zaidi hapa.
Rapa
mkongwe bongo AY amefunguka na kumtaja msanii wa Rnb kutoka Tanzania
Ben Pol kuwa ndiye mfalme wa Rnb kwa Afrika Mashariki, Kusini mwa jangwa
la Sahara na Afrika Mashariki na kati.
Mbali
na hilo AY amemfananisha B… Read More
Mashabiki wa muziki Kenya wamlilia Darassa.Fahamu zaidi hapa.
Mashabiki wa muziki wa nchini Kenya wamemlilia Darassa. Hilo
limedhihirika katika ujumbe aliouandika muimbaji wa nchi hiyo, Nyota
Ndogo kwenye mtandao wa Instagram.
Kupitia mtandao huo, Nyota Ndogo aliweka picha… Read More
0 comments:
Post a Comment