Home »
Michezo
» SIMBA HII ACHA KABISA, YATOA DOZI NZITO KWA MBAO, OKWI AZIDI KUCHEKA NA NYAVU.
Simba imeendeleza ubabe katika michezo ya Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kuipa dozi nene Mbao FC jioni ya leo kwa mabao 5-0, mchezo ukipigwa kwenye Dimba la Taifa, Dar es Salaam.
Mchezo huo ambao Simba waliutawala kwa asilimia kubwa, ulianza kutikisa nyavu zake katika dakika ya 37 kupitia Shiza Kichuya, na dakika chache baadaye Emmanuel Okwi alifunga bao la pili kwa njia ya penati, baada ya kuchezewa faulo ikiwa ni dakika ya 41.
Mpaka dakika 45 za awali zinamalizika, Simba walikuwa kifua mbele kwa mabao 2-0.
Kipindi cha pili kilianza huku Simba wakionesha uchu wa kufunga zaidi, ambapo 69, Emmanuel Okwi alifunga tena bao, na kufikisha mabao mawili kwenye mchezo huo.
Na katika dakika ya 82, Erasto Nyoni aliongeza bao la 3, na baadaye kuelekea mwishoni mwa mchezaji, Nicoulous Gyan akapigilia msumari wa mwisho, kwa kufunga bao la 5.
Mpaka dakika 90 zinamaliza, Simba SC 5-0 Mbao FC.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa
Related Posts:
HATIMAYE YANGA WAMTAMBULISHA IBRAHIM AJIBU.
LEO klabu ya Yanga yenye makazi yake Kariakoo mitaa ya Jangwani na
Tiwga, imemthibitisha rasmi Ibrahim Ajibu kuwa ni mmoja wa wachezaji wa
timu hiyo watakaopambana kwenye Ligi Kuu ya Tanzania Bara na michezo ya
kimataifa… Read More
PEPE AACHANA NA MADRID, ATUA UTURUKI KUJIUNGA NA TIMU YAKE MPYA.
Beki nyota wa Ureno, Pepe ametua nchini Uturuki na kujiunga na Besiktas.
Besiktas ni timu kubwa ya tatu nchini Uturuki baada ya Galatasaray na Fernebahce.
Klabu hiyo imemwaga pauni million 8.3 kumnasa kutoka Real Madrid.… Read More
BREAKING NEWS>>>SIMBA YAMTANGAZA KOCHA WAO MPYA.
Siku chache kabla ya kuanza kwa maandalizi ya msimu ujao wa 2017/2018, kipa wa zamani wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars
na Klabu ya Ferroviario de Maputo ya Msumbiji, Mohamed Mwalami ameteuliwa kuwa kocha mpya wa … Read More
JERRY Muro Amtupia Haji Manara Kijembe Hichi Baada ya Kumaliza Kifungo cha TFF, Adai Maisha ni Gwaride.
Aliyekuwa msemaji wa klabu ya Yanga, Jerry Muro amemaliza kutumikia adhabu yake.
Jerry alifungiwa mwaka jana na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania
(TTF) kwa mwaka mzima kutojihusisha na shughuli zozote za kimichezo
k… Read More
Muzamiru Yassin agombaniwa na klabu za Afrika Kusini.Kiungo wa klabu ya Simba SC, Muzamiru Yassin amekuwa almasi kwa baadhi ya timu za Afrika Kusini.
Kiungo wa klabu ya Simba , Muzamiru Yassin
Muzamiru yuko Afrika Kusini akiitumikia timu ya taifa ya Tanzania
(Taifa Stars)… Read More
0 comments:
Post a Comment