Home »
Habari Moto
» Breaking News: Mahakama Yawahukumu kwenda Jela Sugu, Masonga Baada ya Kukutwa na Hatia.
MBUNGE wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi na Katibu wa Chadema Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Emmanuel Masonga wahukumiwa kifungo cha miezi mitano jela baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kutumia lugha ya fedheha dhidi ya Rais
VIDEO
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>> >>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>> Bonyeza Hapa
Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa
Related Posts: #BURUDANI>>>>Wema Sepetu na Petit Man Wamaliza Tofauti zao.Fahamu zaidi hapa.
Kwa miezi kadhaa sasa Wema Sepetu na Petit Man walikuwa wakichuniana
hadi kuwafanya mashabiki waanze kuuliza maswali kupitia mitandao ya
kijamii kutaka kujua kunani!
Lakini usiku wa August 16, wawili hao walionekana waki… Read More Soma Nafasi za Kazi Zilizotangazwa Katika Magazeti na Mitandaoni leo 18 Aug 2016.Hapa hapa.
Hapa Chini Nimekuwekea Nafasi za kazi Mbali Mbali zilizotangazwa leo katika Magazeti na Mitandaoni, Bonyeza Links
Job Opportunities at Acacia Mining, Application Deadline: 26 Aug 2016
Job Opportunity at Sun Share, Applica… Read More #YALIYOJIRI>>>>Waziri Mkuu Awaweka Sawa Watumishi Wa Ofisi Yake, Tayari Kwa Safari Ya Dodoma.Fahamu zaidi hapa.
Waziri
Kassim Majaliwa amesema safari ya kuhamia Dodoma imeiva na amewataka
watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wajipange kisaikolojia.
Ametoa
kauli hiyo leo Agosti 18, 2016 alipokutana na kuzungumza na watumishi… Read More #YALIYOJIRI>>>>Tanzania kuachana na nguo za mitumba ifikapo mwaka 2018.Fahamu zaidi hapa.
Na Beatrice Lyimo-MAELEZO
Serikali imeazimia kuachana na biashara ya kuingiza nguo za mitumba kutoka nje ya nchi ifikapo mwaka 2018.
Maazimio
hayo yamebainishwa na Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Sera,
Bung… Read More #YALIYOJIRI>>>Serikali Kuchunguza Mali za Vigogo 500, Wamo Wabunge, Mawaziri, Makatibu Wakuu na Wakurugenzi.Fahamu zaidi hapa.
WAKATI takribani asilimia 20 ya viongozi wa umma kwa mwaka 2011 hadi
mwaka jana hawakuwasilisha matamko ya mali zao kwa Sekretarieti ya
Maadili ya Viongozi wa Umma kwa wakati, mwaka huu serikali imetangaza
kuhakiki matam… Read More
0 comments:
Post a Comment