Home »
Habari Moto
» Kada wa CCM, Shyrose Bhanji Aukana Ujumbe Ulioandikwa Katika Instagram yake Kuhusu JPM.
Kada wa CCM, Shyrose Bhanji amuomba radhi Rais Magufuli kwa ujumbe uliosambaa ukitokea katika ukurasa wake wa Instagram. Amesema alidukuliwaKupitia akaunti yake ya Instagram ulisambaa ujumbe unaosema ''Sikubaliani na utawala wa Rais JPM, niko tayari kwenda jela"
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa
Related Posts:
Weka Picha za Utupu Mtandaoni Uende Miaka 20 jela – TCRA.Fahamu zaidi hapa.
Unataka kwenda jela? Ni rahisi, weka picha za ngono mtandaoni, na utakuwa mkazi wa huko kwa kipindi cha miaka 20.
Kwa mara nyingine tena, mamlaka ya mawasiliano Tanzania, TCRA
imewakumbusha watanzania kutozichezea sharubu… Read More
#YALIYOJIRI>>>>Lowassa Atoa Waraka Kuhusu Kukamatwa Kwake.Fahamu zaidi hapa.
WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa ametoa waraka akisema kitendo cha
askari wa Jeshi la Polisi kuwakamata wakati wakiwa kwenye kikao cha
ndani cha Chadema jana kimemuimarisha na kumpa nguvu zaidi ya kudai
demokr… Read More
#YALIYOJIRI>>>Jukwaa la wahariri lalaani Serikali kufungia redio.Fahamu zaidi hapa.
… Read More
#YALIYOJIRI>>>>Makusanyo Kodi za Simu Yapanda Maradufu.Fahamu zaidi hapa.
Sheria
ya Fedha ya Mwaka 2016 iliyopitishwa kuhusu utozaji ushuru kwenye ada
ya kutuma na kupokea fedha kwenye miamala ya benki na simu, imeanza
kuzaa matunda kutokana na ongezeko la mapato lililoanza kushuhudiwa
kutok… Read More
#YALIYOJIRI>>>>Lowassa, Mbowe Watakiwa Kuripoti Polisi Keshoi Septemba 1.Fahamu zaidi hapa.
Mwenyekiti
wa Chadema, Freeman Mbowe, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama hicho, Edward
Lowassa na viongozi wengine waandamizi wameitwa na Jeshi la Polisi Kanda
Maalumu ya Dar es Salaam kwenda kuripoti kesho Septemba Mosi.
… Read More
0 comments:
Post a Comment