Home »
Habari Moto
» Rais Magufuli Ampangia Ubalozi wa Sweden Dk. Slaa Kumwapisha Leo Ikulu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo Februari 16, 2018 saa 3 asubuhi atawaapisha Dkt. Wilbrod Peter Slaa ambaye ameteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Sweden na Muhidin Ally Mboweto kuwa Balozi wa Tanzania nchini Nigeria.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa
Related Posts:
Baada ya Kutangaza Kununua Ndege, Sasa Askofu Gwajima Kuleta Umeme Megawati 250.
Baaada ya kimya cha muda mrefu Askofu Mkuu wa kanisa la ufufuo na uzima,
Mchungaji Josephat Gwajima ameibuka na kutangaza kuleta ndege aina ya
'Jet' Tanzania kwa ajili ya kutoa huduma kwa watumishi wake.
Mchungaji Gwajim… Read More
Tundu Lissu Amchana Waziri Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Bw. Charles Mwijage.
Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) na Mwanasheria wa
CHADEMA, Tundu Lissu amefunguka na kumchana Waziri Waziri wa Viwanda,
Biashara na Uwekezaji, Bw. Charles Mwijage kuwa anahamasisha vijana
kujiajiri wakat… Read More
Sherehe Za Uwekaji Wa Jiwe La Msingi Bomba La Mafuta Ghafi Kutoka Hoima Mpaka Chongoleani, Tanga.
Rais
Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Uganda, Yoweri
Kaguta Museveni wakiwasili katika viwanja vya Chongoleani, Mkoani Tanga
tayari kwa sherehe za uwekaji wa jiwe la Msingi la ujenzi… Read More
VIDEO:Mbunge wa CUF aliyetimuliwa atoa maneno ya kusisimua.
Wabunge nane waliotimuliwa na Profesa Ibrahim Lipumba , mmoja
alizungumza jana na Waandishi wa habari aliyejulikana kwa jina la Raisa
Abdallah Mussa alisema kuwa walipokosea ni padogo huku akisema si kazi
kubwa sana kup… Read More
Tundu Lissu: Tulipomfukuza ZITTO Kabwe Spika Alizuia, ila Lipumba Akifukuza Wabunge Anakubali Haraka..Kunani?
Tundu Lissu amesema kuna double standard imetumika kuwavua ubunge
wabunge wa CUF, Amesema ikitokea wabunge wa upinzani wakitumiwa na CCM
kuvuruga chama na upinzani ukaamua kuwafukuza spika haridhii kuwafukuza
hadi kesi z… Read More
0 comments:
Post a Comment