Home »
Burudani
» Hatari Tupu! Huu Hapa Uamuzi Alioufanya Zari kwa Diamond.
Saa chache zimepita toka msanii Diamond Platnumz kudaiwa kutoka kimapenzi na wasichana wengine tofauti na mama watoto wake Zari the bosslady.Inasemekana kuwa Diamond Platnumz hupeleka wasichana tofautitofauti nyumbani kwake Madale, kutokana na tetesi zilizokuwa zikiendelea kwenye mitandao ya kijamii ikaonekana Zari kukasirishwa na tabia hiyo.Hivyo kupitia instagram account ya Zari ameonekana kumu’unfollow baba watoto wake Diamond Platnumz, kitu hiki kimeleta maswali mengi kwa baadhi ya mashabiki na wengi kuhusisha ukaribu uliotokea kati ya Wema Sepetu na Diamond siku ya uzinduzi wa kutambulisha rasmi Marombosso WCB.Zari amwambia Mama Diamond “Tuhame Guest House tumwachie mwanao”
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa
Related Posts:
Ramsey Awapa Makavu Wema Sepetu na Ray.
STAA wa sinema za Nigeria (Nollywood), Ramsey Nouah amewalipua waigizaji wa filamu za Kibongo kwa kushindwa kuendeleza sanaa hiyo kwa kiwango alichoishia marehemu Steven Kanumba huku akilizungumzia kaburi la staa huyo, Ijum… Read More
Msagasumu Awakata Ngebe Wanawake Wanaomshobokea " Nina Mke Wangu Acheni Shobo".
NGULI wa Muziki wa Singeli, Selemani Jabir ‘Msaga Sumu’, amewakata ngebe wanawake ambao wamekuwa wakimshobokea wakati yeye ana mke na watoto wawili.Akizungumza na Full Shangwe, Msaga Sumu anayebamba na Ngoma ya Mwanaume Mas… Read More
Shamsa Ford Amfunda Shilole "Kuwa Mke Bora kwa Mumeo Ustar Weka Pembeni".
STAA wa Filamu nchini, Shamsa Ford amefungukia uamuzi wa msanii mwenzake wa Muziki, Zuwena Mohammed maarufu kama Shilole kwa kuamua kufunga ndoa tena ya Kidini na mpenzi wake, Uchebe ndoa iliyoshuhudiwa hivi karibuni na kut… Read More
Diamond, Tudd Thomas Washinda Tuzo Nigeria.
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz na Muandaaji wa muziki, Tudd Thomas wote kutoka Tanzania wameshinda tuzo za African Entertainment Legends Awards (AELA) jana Desemba 3, 2017 jijini Lagos, nchini Nigeria.Dia… Read More
Dully Sykse Atokwa Povu Kisa Bomberdier Atangaza Vita kwa Wasanii Wenzake.
ETI kisa Bombardier! Mkongwe wa Bongo Fleva nchini, Dully Sykse ametoa povu ikiwemo kutangaza vita na wasanii wa kizazi kipya kwa sababu ya kushindwa kumsapoti kwenye wimbo wake mpya.Dully Sykes ambaye ameachia wimbo mpya w… Read More
0 comments:
Post a Comment