Home »
Habari Moto
» Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Zimbabwe Akamatwa Kwa Tuhuma za Kumpa PHD Mke wa Mugabe.
ZIMBABWE: Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Zimbabwe, Levi Nyagura Akamatwa kwa tuhuma za kumtunuku Shahada za Uzamivu(PhD) Mke wa aliyekuwa Rais wa Nchi hiyo Robert MugabeBi Grace Mugabe alitunukiwa Shahada hiyo baada ya kusoma kwa miezi michache kinyume cha utaratibu huku kukiwa na harufu ya rushwaWakufunzi kutoka Idara ya Sosholojia chuoni hapo wamesema kuwa hawajaona nyaraka zozote za kuthibitisha kuwa Bi. Grace Mugabe alistahili kutunukiwa Shahada hiyo ya Uzamivu na kuomba mamlaka husika zimfutie Bi. Grace Shahada hiyo
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa
Related Posts:
#YALIYOJIRI>>>BAKWATA Waunga Mkono Uchaguzi wa Marudio Zanzibar.Fahamu zaidi hapa.
WAKATI
Chama cha wananchi CUF ambacho ni chama kikuu cha Upinzani visiwani
Zanzibar kikiwa kimesusia uchaguzi wa marudio ambao unafanyika Marchi 20
ya mwaka huu,Baraza la Waislam (BAKWATA) limese… Read More
#YALIYOJIRI>>>Afande Sele Aungana Na Mbunge Joseph Msukuma Kuitaka Serikali Ihalalishe Matumizi Ya Bhangi.Fahamu zaidi hapa.
Msanii
mkongwe wa hip hop nchini, Afande Sele amefunguka na kusema serikali
ihalalishe matumizi ya bangi na si kukosoa juu ya hoja iliyotolewa na
mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Msukuma.
Ikiwa
imepita siku moja t… Read More
#YALIYOJIRI>>>Mke wa Kafulila Amlipua Dr. Mwakyembe Kuhusu Sakata La Mabehewa FEKI,Mwakyembe Akomaa, Asema Yupo Tayari Kujiuzulu Ikithibitika Fahamu zaidi hapa.
Sakata
la ununuzi wa mabehewa kwa ajili ya Shirika la Reli Tanzania (TRL)
yanayodaiwa kuwa mabovu liliibuka jana Bungeni na kumuinua Waziri wa
Katiba na Sheria, Dk. Harrison Mwakyembe ambaye alikuwa Waziri wa
Uchukuzi … Read More
#YALIYOJIRI>>>Bungeni: Serikali Kuajiri Vijana 71,408 Mwaka Huu,Halmashauri Zaagizwa Kutenga Asilimia 5 Ya Mapato Kwa Ajili Ya Kuwasaidia Vijana.Fahamu zaidi hapa.
Serikali
katika mwaka wa fedha 2016/2017 imepanga kuongeza ajira kwa vijana ili
kukabiliana na changamoto ya ukosefu wa ajira kwa vijana wengi wa
kitanzania kwa kuongeza ajira na kuwezesha wengine kujiajiri kupitia
mif… Read More
#YALIYOJIRI>>>Zitto Kabwe Ang’ang’ania Ufisadi Benki ya Stanbic,Mwanasheria Mkuu Amshauri Apeleke Nyaraka Serikalini.Fahamu zaidi hapa.
MBUNGE
wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe (ACT- Wazalendo) ameitaka serikali
kumwagiza Mkaguzi na Mdhibiti wa Hesabu za Serikali (CAG) ili kubaini
wizi wa Sh. 608 trilioni zilizokopwa kupitia Benki ya Stanbic yenye tawi
lake… Read More
0 comments:
Post a Comment