Home »
Michezo
» Ngorongoro heroes kucheza na Dr congo fainali za africa.
Timu ya Taifa ya Vijana chini ya miaka 20(Ngorongoro Heroes) imepangwa kucheza na DR Congo kwenye mchezo wa kutafuta tiketi ya kucheza fainali za Vijana za Africa zitakazochezwa Niger mwezi Novemba.Mchezo wa kwanza utachezwa Tanzania kati ya Machi 30,31 na April 1,2018 na ule wa marudiano utachezwa Congo kati ya Machi 20,21 na 22.Mshindi katika mchezo huo atacheza na Mali katika raundi ya pili itakayochezwa kati ya Mei 11,12 na 13,2018.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa
Related Posts:
#MICHEZO>>>>FIFA YAILIMA FAINI SIMBA, YAPANGA KUISHUSHA DARAJA.Fahamu zaidi hapa.
SHIRIKISHO la Soka la
Kimataifa (FIFA), limeipiga faini ya Franc 2,000 za Uswisi (Sh
4,582,000), Klabu ya Simba baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kupuuza
maagizo ya Idara ya Utatuzi wa Migogoro (Desputes Resolution Cha… Read More
#MICHEZO>>>SAMATTA AREJEA UWANJANI GENK IKIZIDI KUTISHA LIGI KUU UBELGIJI.Fahamu zaidi hapa.
KIKOSI cha KRC Genk
anachochezea nahodha wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Mbwana Samatta leo
kimeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Zulte-Waregem kwenye mchezo
wa ligi kuu nchini Ubelgiji.
Genk walipata bao la
kwanz… Read More
#MICHEZO>>>AZAM WAKUBALI YAISHE, KUKOMAA NA KOMBE LA FA.Fahamu zaidi hapa.
SIKU moja baada ya
Shirikisho la mpira wa miguu nchini (TFF) kuipokonya pointi tatu timu ya
Azam kwa kosa la kumchezesha beki wao Erasto Nyoni aliyekuwa na kadi
tatu za njano, Uongozi wa timu hiyo umelijia juu shir… Read More
#MICHEZO>>>>STEWART HALL KUIPA AZAM MKONO WA KWAHERI.Fahamu zaidi hapa.
Siku moja baada ya TFF kuipoka Azam FC pointi tatu kutokana na
kumtumia Erasto Nyoni aliyekuwa anakadi tatu za njano kwenye mchezo wao
dhidi ya Mbeya City, kocha mkuu wa Azam FC Stewart Hall amefikia uamuzi
wa kuachana n… Read More
#MICHEZO>>>>STAR WA MANCHESTER UNITED AMEKIMBILIA KWENYE MOVIE.Fahamu zaidi hapa.
Midfielder wa Manchester United Bastian Schweinsteiger anajiandaa kucheza tangazo jipya la iPhone app, Clash of Kings.
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Ujerumani akiwa na kikosi cha Old
Trafford ndani ya msimu wake wa … Read More
0 comments:
Post a Comment