Home »
Burudani
» Huu Hapa Ujumbe wa Zari Baada ya Picha za Hamisa Mobetto na Videographer wa Diamond Kusambaa.
Baada ya muimbaji wa Bongofleva Diamond Platnumz na mzazi mwenzake Hamisa Mobetto kufikishana Mahakamani wiki iliyopita inadaiwa kuwa mambo yao yapo sawa kwa sasa na wamemaliza tofauti zao, hiyo ni baada ya kusambaa kwa picha za official videographer wa Diamond Platnumz ambaye ni Lukamba kusambaa kwa picha mtandaoni akiwa na Hamisa.Kitendo cha Lukamba kuonekana kumfanyia photoshoot Hamisa kimeanza kuhusishwa kuwa Diamond na Hamisa wapo sawa kwa sasa ndio maana Lukamba ameonekana akifanya kazi za Hamisa ambaye ni mzazi mwenza na boss wake Diamond Platnumz.Baada ya muda kupita baada ya picha ya Hamisa na Lukamba kusambaa mtandaoni Zari alipost ujumbe huu kupitia ukurasa wake wa instagram story na kuandika “Nafukuzana na pesa sio binadamu” ujumbe ambao unadaiwa kuwa amepost baada ya kuona picha ya Lukamba na Hamisa wakiwa pamoja kitu ambacho kinadaiwa kuzidi kuyumbisha penzi na Zari na Diamond na indaiwa kuwa bado hawapo sawa kwa sasa.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa
Related Posts:
Wema, Petit Ndani ya Bifu.Fahamu zaidi hapa.
Imevuja! Urafiki wa muda mrefu wa muigizaji nyota, Wema Sepetu na mshika
kamera wake, Petit Man umeingia dosari baada ya kudaiwa kuwa wawili hao
wako ndani ya bifu, Risasi Mchanganyiko linakujuza.
Wema na Petit
Chanz… Read More
#BURUDANI>>>>Live from South Africa Mkurugenzi kuu MD wa Sony Music Africa,Sean Wetson Waki sign mkataba na mwanamuziki Alikiba.Fahamu zaidi hapa.
Alikiba
Alikiba
baada ya kusaini mkataba huo amewashukuru mashabiki wake kwa support
waliompa toka aliporudi na wimbo wake wa 'Mwana' mpaka leo hii na kusema
atafanya sherehe na mashabiki zake ili kufurahi nao baada … Read More
Bifu la Shilole na Vanessa, Shilole Atangaza Vita…HALI SI SHWARI TENA.Fahamu zaidi hapa.
Akiongea na East Africa TV baada ya kupigiwa smu kujibu tuhuma hizo,
Shilole amesema amechukizwa na kitendo cha Vanessa kuandika mambo mabaya
juu yake na kupost istagram, hivyo ajiandae kwa lolote.
“Ukiona hivyo ujue ki… Read More
Madee adai kuishi na Dogo Janja ni Kutimiza ndoto ya mpenzi wake aliyefariki.Fahamu zaidi hapa.
Msanii wa Bongo Flava, Madee ameweka wazi alipoitoa nguvu kubwa ya
kufanikiwa kuishi na rapa toka Ngarenaro, Arusha, Dogo Janja kama mtoto
wake.
Madee alifunguka wikendi iliyopita kwenye kipindi cha The Playlist
cha 10… Read More
PESA ZA MSHINDI WA BONGO STAR SEARCH KAYUMBA ZIMEKWISHA.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Meneja wa msanii wa Bongo fleva na mshindi wa BSS Kayumba Juma, Saidi
Fella amefunguka juu ya kukata kwa mkwanja wa msanii huyo kabla ya
mjengo wake kukamilika.
Akizungumza na eNewz Fella alisema kuwa mkwanja wa msanii … Read More
0 comments:
Post a Comment