Home »
Michezo
» Sare na Mwadui Yamtoa Povu Haji Manara.
Mkuu wa kitengo cha habari na mawasiliano ndani ya klabu ya Simba Haji Manara amesema Simba sio timu ya kwanza kutoa sare au kufungwa na Mwadui hivyo mashabiki wasiongee sana.Kupitia moja ya kurasa zake kwenye mitandao ya kijamii Manara ameandika ujumbe ambao unaonekana kuwa povu kwa mashabiki wa wapinzani wao huku akiweka wazi kuwa sare ya jana dhidi ya Mwadui FC kamwe haijaitoa Simba kwenye njia.''Simba haitatoka mstarini na washabiki wetu tulieni na wajibu wenu ni kuiombea timu na kuisuport'', ameandika Manara ikiwa ni chini ya siku moja tangu timu hiyo itoe sare ya 2-2 dhidi ya Mwadui ugenini Shinyanga.Aidha Manara ameongeza ''Mwadui imezifunga Singida United na kabla yetu sisi waliwafunga Mtibwa 3-1 kule Shinyanga, wametoka sare na Yanga na Azam tena wakiwa kwao Dar, hizo ndio 'big five' kwenye ligi kwa sasa, sisi kutoka nao sare kwao 'why' iwe nongwa tena ugenini'', ?.Baada ya sare ya jana Simba imefikisha alama 42 ikiwa kileleni kwa alama 5 zaidi ya Yanga ambayo inashika nafasi ya pili ikiwa na alama 37 huku Azam FC ikishika nafasi ya tatu ikiwa na alama 34.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa
Related Posts:
#MICHEZO>>>>BEKI WA PREMIER LEAGUE APATA AJALI MBAYA YA GARI.FAHAMU ZAIDI HAPA.Beki wa kushoto anayechea katika Ligi Kuu
ya England 'Premier League' akiwa ni mchezaji wa timu ya Crystal
Palace, Pape Souare amejeruhiwa katika ajali mbaya ya gari alipokuwa
katika mitaa ya Jiji la Londo, ambapo ksa sasa… Read More
#MICHEZO>>>>KISIKI JOHN TERRY HATARINI KUIKOSA GAME DHIDI YA LIVERPOOL.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Kocha
wa Chelsea, Antonio Conte anapata wakati mgumu kwa kuwa kuna uwezekano
wa kumkosa nahodha wake, John Terry kuelekea katika mchezo dhidi ya
Liverpool katika Stamford Bridge, Ijumaa ya wiki hii.Terry
alipata majer… Read More
#MICHEZO>>>>>BAADA YA USHINDI WA 5-2, CRISTIANO RONALDO ALA BATA NA MWANAYE.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Staa
wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo ameamua kuchukua mapumziko ya mkuda
mfupi kwa kujiachia na mwanaye wa kiume kisha kutupia picha kwenye
ukurasa wake wa Instagram.
Ronaldo
akiwa amevaa miwani na wigi walionekana … Read More
#MICHEZO>>>>KIPIGO CHA MAN CITY BADO NI PASUA KICHWA, PAUL SCHOLES AWAJUA JUU BLIND, VALENCIA.FAHAMU ZAIDI HAPA.Kiungo wa zamani wa Manchester United, Paul Scholes amewakosoa mabeki wa
timu hiyo, Daley Blind na Antonio Valencia kwa jili walivyocheza katika
mchezo wa Manchester derby dhidi ya Manchester City.Scholes
amenukuliwa akise… Read More
#MICHEZO>>>>WAZIRI NAPE NNAUYE AKABIDHIWA RASMI MAGETI YANAYOTUMIA MFUMO WA MASHINE ZA TIKETI ZA KIELETRONIKI KATIKA UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa
na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akiweka kadi katika moja ya geti
linalotumia mfumo wa mashine za tiketi za kieletroniki tayari kuingia
katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar e… Read More
0 comments:
Post a Comment