Home »
Habari Moto
» Zuma Kufuata Nyayo za Mugabe Akubali Kujiuzulu Atoa Sharti Hili.
RAIS wa Afrika Kusini, Jacob Zuma ameridhia kuondoka madarakani, baada ya wito uliotolewa na Chama chake tawala cha ANC kumtaka kujiuzulu ndani ya masaa 48. Zuma ameridhia kujiuzulu kwa sharti kwamba, atafanya hivyo baada ya miezi mitatu hadi sita kuanzia sasa, ambapo bado uongozi wa ANC haujatoa jibu iwapo umeridhia shartiANC kikiongozwa na Cyril Ramaphosa, jana kilituma ujumbe maalum kumtaka rais huyo kuachia madaraka, kutokana na harakati nyingi za kumtaka afanye hivyo tangu mwaka jana.Jacob Zuma anakabiliwa na tuhuma za rushwa na matumizi mabaya ya madaraka ambapo Bunge la nchi hiyo kujaribu kupiga kura za maoni ili kumuondoa lakini ilishindikana, ndipo chama kikafanya mkutano na kuchukua uamuzi huo mgumu wa kumtaka afanye hivyo, la sivyo kitamtoa kwa nguvu.Endapo Zuma atafanya hivyo atakuwa amefuata nyayo alizopita rafiki yake mkubwa Robert Mugabe ambaye alikuwa Rais wa Zimbabwe, aliyetakiwa kufanya hivyo mwishoni mwa mwaka 2017 na jeshi la nchi hiyo, la sivyo lingetumia nguvu kumng’oa, na hatimaye kuachia madaraka.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa
Related Posts:
#YALIYOJIRI>>>>Makontena 100 Yapitishwa Kinyemela Bandarini Bila Kukaguliwa .....Waziri Mwijage Atoa Siku 4 Wahusiku Wajisalimishe.Fahamu zaidi hapa.
WAZIRI
wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage ametoa siku nne kwa
wafanyabiashara waliopitisha makontena 100 bandarini bila kukaguliwa na
Shirika la Viwango Tanzania (TBS), wakatoe taarifa katika shirika.
… Read More
#YALIYOJIRI>>>>Imeripotiwa Kupotea Kwa Rais wa Malawi, Peter Mutharika.Fahamu zaidi hapa.
Habari kubwa zinazotrend sasa hivi mtu wangu moja nii hii iliyoripotiwa
na kituo kikubwa cha habari Kenya cha Citizen kupotea kwa Rais wa
Malawi, Peter Mutharika ambae hajarudi nchini kwake tangu alivyoondoka
kuele… Read More
Taarifa Ya Jeshi La Polisi Kwa Umma Kutoka Mkoa Wa Mwanza.Fahamu zaidi hapa.
Tarehe
12.10.2016 majira ya saa 16:35 katika eneo la Busenga “A” kata ya
Buswelu wilaya ya Ilemela jiji na mkoa wa Mwanza, askari walifanikiwa
kumkamata mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Juma Biria miaka 42,
mfanya b… Read More
#YALIYOJIRI>>>>Aliyepigwa na Walimu Mbeya aeleza kwanini hakwenda Hospitali.Fahamu zaidi hapa.
Jina lake ni Sebastian Chinguku mwanafunzi wa shule ya sekondari Mbeya
Day kidato cha tatu ambae video yake ya kupigwa fimbo mateke na makofi
na Walimu ilisambaa sana kwenye mitandao na imekua gumzo mpaka viongozi
wa Ser… Read More
#YALIYOJIRI>>>>Rais Magufuli Alivyoagana Na Kiongozi Mkuu Wa Bohora Duniani, Ikulu Jijini Dar.Fahamu zaidi hapa.
Jumuiya
ya Madhehebu ya Dawoodi Bohra imetoa mchango wa Dola za Marekani laki
mbili na nusu (Usd. 250,000) sawa na Shilingi Milioni Mia Tano Arobaini
na Tano za Kitanzania (Ths. 545,000,000) kwa ajili ya kuwasaidia
waa… Read More
0 comments:
Post a Comment