Home »
Burudani
» Pretty Kind Akubwa na Skendo ya Uchawi Kisa Hiki Hapa.
MSANII wa filamu Bongo, Suzan Michael ‘Pretty Kind’ amejikuta akitafunwa na skendo ya uchawi kutoka kwa watu wake wa karibu ambao alikuwa anaishi nao, New Delhi nchini India, kutokana na mambo yake kumuendea poa huku wenzake yakibuma.Chanzo chetu kutoka nchini humo kilidai kuwa, wasichana wengi wa Kibongo waishio India wamefurahi mno kusikia msanii huyo kafungiwa na Naibu Waziri, Juliana Shonza kufanya sanaa, sababu alikuwa anawatambia mno.“Pretty kwa Wabongo wengi kule India wanamjua kwa kutumia ‘ndumba’ ili mambo yake yamnyookee kwani alipokuwa huko alikuwa akiwazidi wasichana wote na kila alichokifanya kilikuwa kikimnyookea tofauti na wengine.“Hali hiyo ilisababisha minong’ono sana mpaka ameondoka na hakuna aliyempenda,” kilidai chanzo hicho ambacho kiliomba kuhifadhiwa.Badaa ya madai hayo, Risasi Jumamosi lilimsaka Pretty ambaye alifunguka kama ifuatavyo:“Jamani mimi siyo mchawi, wananizushia sababu ya chuki zao binafsi, mimi nipo karibu na Mungu kuliko wanavyodhani, hata usiku huwa nakesha nikisali, sasa huo uchawi nafanya saa ngapi.”
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa
Related Posts:
Shehe Mkuu Dar: Diamond Acha Utani na Mungu.Fahamu zaidi hapa.
DAR ES SALAAM: Kufuatia kauli ya msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya
Bongo, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kwamba kabla ya kuachia video
zake huwa anasali rakaa mbili ndiyo maana huwa zinakubalika kwa
watazamaji wak… Read More
Chuchu wa Ray Ajifungua Mtoto wa Kiume.Fahamu zaidi hapa.
STAA wa filamu Bongo, Chuchu Hans, hatimaye amejifungua mtoto wa kiume
katika Hosptali ya Taifa ya Muhimbili, akiwa mwanamke wa kwanza
kumpatia muigizaji mkubwa kiume Vincent Kigosi ‘Ray’, mtoto.
Akizungumza… Read More
Mama Kanumba: Huyu Ndiye Mrithi wa Kanumba, Naamini Atanifuta Machozi!..Fahamu zaidi hapa.
DAR ES SALAAM: Wakati ikiwa inakaribia miaka mitano tangu Aprili 7,
2012, ambapo aliyekuwa nguli wa filamu Bongo, Steven Kanumba, alipoaga
dunia, mama yake mzazi Bi. Flora Mtegoa ametembelea kaburini kwa
marehemu m… Read More
Dudu Baya afunguka asema ajafulia kama watu wanavyodhani.Fahamu zaidi hapa.
Msanii mkongwe wa muziki wa hip hop, Dudu Baya amedai ukimya wake kwenye
muziki umesababishwa na kuwa busy kwenye biashara na siyo kwamba
amefulia kama baadhi ya watu wanavyodai.
Rapper huyo amedai kwa sasa maisha yak… Read More
WCB ya Diamond kumsaini Q Chief?.Fahamu zaidi hapa.
Label kubwa ya muziki nchini, WCB ya Diamond Platnumz, huenda ikamsaini msanii mkongwe wa muziki nchini Q Chief.Muimbaji
huyo aliyewahi kufanya vizuri na wimbo 'Si Ulinikataa' hivi karibuni
alitembelea katika ofisi za WC… Read More
0 comments:
Post a Comment