Tuesday 25 April 2017

Meli ya kivita ya Marekani yenye kuendeshwa kwa nguvu za nyuklia imewasili katika bandari ya Busan, Korea Kusini.Fahamu zaidi hapa.


Meli ya kivita ya Marekani yenye kuendeshwa kwa nguvu za nyuklia imewasili katika bandari ya Busan, Korea Kusini.

Nyambizi hiyo, USS Michigan ni moja kati ya nyambizi mbili zinazobeba makombora yanayoendeshwa kwa nguvu za nyuklia katika jeshi la wanamaji la Marekani.

Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa

                            Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
                       Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa

0 comments:

Post a Comment