Wednesday 26 April 2017

BILA RONALDO, MADRID YASHINDA UGENINI, "YAIANGUKIA" DERPOTIVO LA CORUNA MABAO 6-2.

Baada ya kipigo kutoka kwa wapinzani wake Barcelona, Madrid imeamka tena kwenye La Liga baada ya kuitwanga Derpotivo la Coruna kwa mabao 6-2.

Pamoja na kucheza bila ya Cristiano Ronaldo, Madrid imeiangushia Derpotivo kipigo hicho kikali ikiwa nyumbani.


James Rodrigues amefunga mabao mawili huku Alvaro Morata, Lucas Vazquez, Isco na Casemiro kila mmoja akitupia moja na kutengeneza ushindi huo mkubwa wa ugenini.
Derpotivo nayo ilijitutumua na kupata mabao mawili kupitia Florin Andone na Joselu ingawa hayakusaidia kubadili matokeo ya kuoata pointi tatu.
Deportivo (4-2-3-1): Lux 4 (Tyton 46, 4); Juanfran 7, Arribas 5.5, Sidnei 5.5, Luisinho 5.5; Guilherme 5, Bergantinos 6; Joselu 7, Gil 6, Emre 5.5, Kakuta 5 (Navarro 46, 5); Andone 6
Goals: Andone 35, Joselu 84
Booked: Arribas 67, Joselu 90, Colak 90+3


Real Madrid (4-1-4-1): Casilla 5.5; Danilo 7.5, Varane 7, Nacho 7, Marcelo 7; Kovacic 8; Vazquez 8, Isco 9.5 (Mariano 79), Rodriguez 9, Asensio 8 (Casemiro 79); Morata 9 
Goals: Morata 1, Rodriguez 14, 66, Vazquez 44, Isco 77, Casemiro 87
Booked: Isco 69
Referee: Jose Sanchez 

Attendance: 26,735
Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa

                            Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
                       Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa

0 comments:

Post a Comment