Wednesday 26 April 2017

MESSI SI WA MCHEZO, APIGA TENA MBILI BARCELONA IKIIRIPUA OSASUNA MABAO 7-1.

Lionel Messi ameonyesha hakubahatisha katika mechi ya El Clasico dhidi ya Real Madrid kwa kupiga mabao mawili.

Leo amepiga mbili tena wakati Barcelona ikiitwanga Osasuna kwa mabao 7-1.

Wakati amepiga mabao mawili, Andre Gomes naye ametupia mbili na  Francisco Alcacer naye akatupia mbili na kukamilisha hesabu ya mabao sita.

Lakini beki kisiki raia wa Argentina, Javier Mascherano, naye amepiga moja kukamilisha hiyo hesabu ya wiki.



Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa

                            Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
                       Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa

0 comments:

Post a Comment