Wednesday 5 August 2015

#YALIYOJIRI>>>Bakary Sako amejiunga na Crystal Palace kwa uhamisho huru.




Crystal Palace imemaliza kumsainisha winga Bakary Sako kwa uhamisho wa bure.
Mwenye umri wa miaka 27 mchezaji wa kimataifa kutoka Mali amesaini mkataba wa miaka mitatu baada ya kuondoka.
Sako alijiunga Wolves kutoka St Etienne mwaka 2012 na alifunga mabao 36 katika mechi 118 kwa klabu Midlands.

0 comments:

Post a Comment