Monday 16 May 2016

#MICHEZO>>>MASHABIKI WACHOMA UWANJA MOTO BAADA YA TIMU YAO KUSHUKA DARAJA.FAHAMU ZAIDI HAPA.

Mashabiki wa klabu ya ESKISEHIRSPOR ya nchini uturuki wameamua kuuchoma moto uwanja wa timu yao hiyo baada ya kuchapwa goli 2-1 na Medipol Basaksehir ,matokeo yaliyosababisha timu hiyo kushuka daraja.

Timu hiyo ilipanga kuachana na uwanja huo unaoitwa Eskisehir Ataturk na kuhamia uwanja mpya walioujenga ambao unakadiliwa kuingiza mashabiki elfu 33.

Bofya hapa kuona sakata hilo lilivyohappen huko.

0 comments:

Post a Comment