Home »
Burudani
» PESA ZA MSHINDI WA BONGO STAR SEARCH KAYUMBA ZIMEKWISHA.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Meneja wa msanii wa Bongo fleva na mshindi wa BSS Kayumba Juma, Saidi
Fella amefunguka juu ya kukata kwa mkwanja wa msanii huyo kabla ya
mjengo wake kukamilika.
Akizungumza na eNewz Fella alisema kuwa mkwanja wa msanii huyo mpaka
sasa umeshakatika kutokana na matumizi mengine ambayo yalikuwa ni ya
muhimu hivyo atachelewa kuwaonesha mashabiki zake kama ambavyo alikuwa
amewaahidi hapo awali.
“Pesa yake ilitumika kwa ajili ya kutengeneza video, kununulia gari
pamoja na kuijenga nyumba yake hadi pale ilipofikia ila kwa sasa
nategemea Kayumba aanze kupige shoo ili aweze kuingiza pesa
itakayosaidia kumalizia kujenga nyumba yake,” alisema Fella.
Pia katika mahojiano yake ya awali na eNewz Kayumba aliwaahidi
mashabiki zake kuwa atawaonesha mjengo wake anaoujenga ikiwa ni sehemu
ya matumizi ya shilingi milioni 50 za ushindi wake, lakini sasa imekuja
kuwa tofauti
Related Posts:
Mange Kimambi Atabiri Roma Mkatoliki Kuhamia CCM Kama Alivyotabiri Wema Kuhama na Ikawa.
ANAYO ENDELEA MTANDAONI :Unakumbuka kabla ya wema sepetu kurudi ccm Mange Kimambi aliandika kwenye page yake ya instagram na kutoa sababu mbili nzito zilizomfanya Wema kurudi CCM?Awamu hii kamuibukia Roma Mkatoliki, anadai … Read More
Video ya utupu ya Nandy na Bill Nass yawawekea uzibe Harmonize na Diamond Platnumz.
Kwa wafuatiliaji wa mitandao ya kijamii nchini Tanzania, hususani kwa wale ambao wanamfuatilia Diamond Platnumz utagundua kuwa jana Aprili 12, 2018 aliahidi kuachia video ya wimbo wa ‘Kwa ngwaru’ ambayo amemshirikishwa na H… Read More
Video ya Utupu ya Bilnass na Nandy Yaizima Kwangaru ya Daimond.
Kwa wafuatiliaji wa mitandao ya kijamii nchini Tanzania, hususani kwa wale ambao wanamfuatilia Diamond Platnumz utagundua kuwa jana Aprili 12, 2018 aliahidi kuachia video ya wimbo wa ‘Kwa ngwaru’ ambayo amemshirikishwa na H… Read More
Augustine Mrema Akunwa na Muziki wa Daimond "Nampenda sana Daimond Huyu Mtoto Anajua Kuimba".
Mwenyekiti wa Chama cha TLP, Augustine Mrema amesema yeye ni miongoni kwa watu ambao wamekuwa wakifuatilia muziki wa wasanii wa hapa nchini na kati ya watu ambao wanamkuna ni Naseeb Abdul maarufu kama Diamond.Mrema amesema … Read More
Kimenuka: Jeshi la Polisi Limeshikilia Hati za Kusafiria na Simu za Wasanii Nandy, Billnass, Hamissa Mobetto na Diamond.
DAR: Jeshi la Polisi linashikilia hati za kusafiria pamoja na simu za wasanii Diamond Platnumz, Nandy, Billnass na Hamisa Mobetto kwa uchunguzi zaidiWasanii hao walikamatwa na kuhojiwa juzi na jana katika Kituo Kikuu cha Po… Read More
0 comments:
Post a Comment