Home »
Burudani
» #BURUDANI>>>Justin Bieber na mpenzi wake Sofia Richie wadaiwa kumwagana.Fahamu zaidi hapa.
Justin Bieber na mpenzi wake Sofia Richie wameachana.
Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ, chanzo cha karibu cha wawili hao kimesema
kuwa Bieber na Sofia hawajaonekana pamoja tangu mara ya mwisho
walipokuwa vacation nchini Mexico wakati wa kusherehekea siku ya
kuzaliwa ya Sofia aliyetimiza miaka 18.
Wikiendi hii Sofia alihudhuria kwenye sherehe ya Magazine Party akiwa na
marafiki zake. Wawili hao walianza kuwa na mahusiano tangu mwezi
Agosti, mwaka huu
Related Posts:
Vanessa atachuana na wasanii wengine kama Efya (GH), Lira (SA), MZ Vee (GH), Sheebah Ndiwanjawulo (UG), Adiouza (SN), Victoria Kimani (KQ), Knowless Butera (RW).Fahamu zaidi hapa.Vanessa Mdee ni msanii pekee wa Tanzania aliyechaguliwa kuwania Tuzo na
Nigeria, Nigerian Entertainment Awards 2016 kwenye kipengele cha Msanii
Bora wa kike wa Afrika/ Nje ya Nigeria ‘African Female Artist (Non Nigeria… Read More
Uwoya na Skendo ya Kubakwa!..Fahamu zaidi hapa.Untold story! Skendo ambayo haijawahi kuandikwa wala kusimuliwa popote
inayomhusu mwigizaji ‘hot’ wa sinema za Kibongo, Irene Pancras Uwoya
‘Mama Krish’ ni juu ya madai ya kubakwa na mfanyabiashara maarufu wa
Kihindi jijin… Read More
Kim Kardashian amtetea Mume wake, adai kuwa Taylor swift alimruhusu Kanye west kumuita bi*ch kwenye ‘Famous’.Fahamu zaidi hapa.Kim Kardashian amerudisha drama ya Kanye west na Taylor swift upya, Staa
huyo wa Reality Tv amemtetea mume wake kuwa Taylor swift aliruhusu
kutajwa kwenye wimbo wake wa ‘Famous’
Kwenye toleo jipya la GQ, Kim amesema Mume … Read More
Hemed adai hajawahi kuwa na mahusiano ya wasanii wa filamu lakini ‘amewachapa’ wengi.Fahamu zaidi hapa.Msanii wa filamu Hemed Suleiman amefunguka kwa kusema kuwa hajawahi
kutoka kimapenzi na wasanii wa filamu lakini wengi amewachapa.
Mwigizaji huyo ni miongoni mwa wasanii wa filamu mwenye mvuto kutoka na kujiremba kwake pam… Read More
Hivi ndivyo msanii DIAMOND PLATNUM alivofanya kazi yake ya DEREVA TAXI hapo jana jijini dar es salaam, jionee mwenyewe.Fahamu zaidi hapa.Dar es Salaam — Dar es Salaam on Wednesday became the latest city around
the world to welcome Uber, the taxi-hailing mobile phone technology
that is revolutionalising transportation in mega cities.
Uber branded taxis will… Read More
0 comments:
Post a Comment