Monday, 12 September 2016

#BURUDANI>>>Nisamehe ya Barakah Da Prince na Alikiba kuachiwa Jumanne.Fahamu zaidi hapa.

Baada ya mashabiki kuisubiria kwa hamu collabo ya kwanza ya label mates wa Rockstar4000, Barakah Da Prince na Alikiba, sasa imethibitishwa kuwa wimbo wao ‘Nisamehe’ utaachiwa Jumanne, Septemba 13.
Tarehe hiyo imethibitishwa na Barakah kupitia Twitter.

Video ya ngoma yao ilifanyika wiki kadhaa zilizopita nchini Afrika Kusini.

<<<<DOWNLOAD APPLICTION KWENYE SIMU YAKO HAPA>>>

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment