Home »
Burudani
» #BURUDANI>>>>Saida Karoli Afunguka ya Moyoni.Fahamu zaidi hapa.

Msanii wa nyimbo za asili Saida Karoli aliyevuma kitambo, amefunguka na
kusema kuwa kitendo cha msanii Diamond Platnum kurudia moja ya kazi yake
anajihisi kuzaliwa upya.
Saida Karoli ambaye aliwahi kufanya
vizuri na nyimbo kama ‘Mapenzi kizunguzungu’, Kaisiki, Maria Salome na
nyingine kibao na alifanikiwa kuliteka soko la Afrika Mashariki kwa
nyimbo hizo na kujipatia umaarufu mkubwa mwanzoni mwa miaka ya 2000.
Saida
Karoli amesikika kwenye moja ya clip ambayo ameiposti Diamond Platnumz
kwenye mitandao yake ya kijamii na kusema kuwa mwanzoni waandishi wa
habari walisha msahau walikuwa hawamtafuti tena, lakini hata baadhi ya
watu pamoja na ndugu zake walikuwa wakiambiwa kuwa amekufa lakini baada
ya kazi ya Diamond Platnumz kutoka imerejesha watu kwenye himaya yake
kwani wameanza kumtafuta na kumpigia simu sana.
“Mimi nimejisikia
vizuri maana hii kazi tunayofanya ni kwa ajili ya mashabiki, mashabiki
ndiyo wadau wetu wanaotufanya sisi tuwe juu kwa hiyo si kazi ya kwangu
mimi peke yangu, ila mimi kama mimi nimejisikia vizuri kusikiliza kwa
sababu hata vyombo vya habari vilinisahau leo hii vinanitafuta, haya
ndugu zangu baadhi na wengine wanajua hata siko duniani wanajua
nilishakufa lakini leo hii naona watu mbalimbali wananitafuta kweli
nimefunguka najihisi kuzaliwa upya” alisikika Saida Karoli
Related Posts:
Mwakyembe Ameliagiza Jeshi la Polisi Kumuachia Huru Msanii Ney wa Mitego.Fahamu zaidi hapa.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe,
ameliagiza Jeshi la Polisi kumuachia huru Msanii Ney wa Mitego.
Waziri ameishauri BASATA kuondoa zuio lake dhidi ya wimbo huo, na badala yake uendelee… Read More
#Breaking News>>>>Rais magufuli aruhusu wimbo wa NAY WA MITEGO upigwe,na Nay aachiwe huru.Fahamu zaidi hapa.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison
Mwakyembe, ameliagiza Jeshi la Polisi kumuachia huru Msanii Ney wa
Mitego aliyekuwa akishikiliwa na Jeshi hilo.
Waziri Mwakyembe ameishauri pia BASATA kuond… Read More
Kudadeki..Diamond Afanya Kufuru ya Pesa,Anunua Cheni na Pete kwa Milioni 158.Fahamu zaidi hapa.
Pete na cheni mpya za Diamond Platnumz alizozivaa kwa wakati mmoja zina thamani ya shilingi milioni 158!
Hitmaker huyo wa Marry You amepost Instagram picha mbili zikionesha madini hayo kwa kile anachosema kuwainspire ma… Read More
Alicho andika Professor J baada ya wimbo wa Rais kuruhusu Wimbo wa Nay wa Mitego.Fahama zaidi hapa.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
… Read More
Shilole Aporomosha Matusi Hadharani!..Fahamu zaidi hapa.
DAR ES SALAAM: Hakika neno aibu yake ndilo sahihi unapotaka kuelezea
madudu yaliyofanywa na staa wa Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ au
‘Shishi Trump’ baada ya kujikuta akiporomosha matusi mazito hadharani,
mbaya z… Read More
0 comments:
Post a Comment