Baada
ya kupoteza mchezo dhidi ya Watford kwa mabao 3-1, Kocha wa Manchester
United amedai kuwa makosa binafsi ya wachezaji wake yamesababisha hali
hiyo pamoja na kumtupia lawama mwamuzi katika bao la kwanza.
"Kesho tutakuwa na mazoezi saa 4.30 asubuhi, tunatakiwa kuwa pale ili kufanya kazi kuonyesha hatupo kwenye hali nzuri.
"Tunahitaji mawazo chanya ya kutuongoza ili mechi ijayo wakiingia uwanjani wajue tunaenda kufanya kazi gani."
0 comments:
Post a Comment