Kingunge Ngombale Mwiru ni jina la siku nyingi sana katika siasa za
Tanzania. Ni mmoja wa wazee wachache walioingia katika siasa wakati
Tanzania (Tanganyika wakati ule) inapigania uhuru kutoka kwa mkoloni.
Maswali haya yalikuwa kufuatia hadhi ya Mzee Kingunge ambapo wengi wanaamini kuwa alipaswa kuwa anatembelea gari zuri la kifahari.
Lakini huenda pengine ni maamuzi yake binafsi kutumia usafiri huo kama mwananchi mwingine wa kawaida
0 comments:
Post a Comment