Niko namuangalia Rais Magufuli. Yeye ndio mwenyekiti wa hawa wakuu wa nchi.
Ameamua kutumia lugha yetu pendwa ya Kiswahili kwenye kikao.Kwa kweli ananifurahisha !
Kikao kinafanyika sasa hivi viwanja vya Ikulu chini ya Mwenyekiti Rais wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli.
Miongoni mwa mambo yanayojadiliwa ni;
1.Sudani kusini kukaribishwa Rasmi katika Jumuiya ya Afrika ya Mashariki.
2.Mgogoro wa Sudani Kusini
3.Mkataba wa EPA
Rais Magufuli sasa anadadafua kuhusu mkataba huu wa EPA ambao umekuwa gumzo kubwa ndani ya nchi yetu.
=> Mambo yanayoleta msuguano kusaini makubaliano ya kiuchumi kati ya EU na EAC:
1. Jinsi jumuiya inavyoweza kulinda viwanda vya ndani.
2. Ni jinsi gani Jumuiya ya Afrika Mashariki itaweza kujiuzuia isigeuzwe soko la bidhaa za kilimo kutoka Ulaya.
3. Ni njia gani itatumika kukusanya mapato ya bidhaa zinazoingia kutoka nje.
4. Kujitoa kwa Uingereza EU, kutaathiri vipi mkataba huo.
5. Kwanini Burundi isaini makataba wa EPA wakati imewekewa vizuizi vya biashara (embargo) na Uingereza.
6. Kwanini Uingereza ilijitoa ndani ya EU alafu watake kuja kufanya biashara na EAC.
7. Suala la ushuru wa forodha nalo ni kizuizi.
Kama maswali haya yatapatiwa majibu, tutakutana tena mwezi Januari 2017, kusaini mkataba wa EPA- M/kiti wa EAC
M/kiti wa EAC Rais Dkt Magufuli ameiomba Jumuiya ya Kimataifa kuendelea kutoa msaada nchini Burundi ili kurejesha amani ya nchi hiyo.
-Wakuu wa nchi za Afrika Mashariki wamejipa miezi mitatu kuendelea kuutafakari mkataba wa EPA.
Niko

0 comments:
Post a Comment