Home »
Habari Moto
» #YALIYOJIRI>>>RAIS Magufuli: Tetemeko Halijaletwa na Serikali, Watu Wafanye Kazi.Fahamu zaidi hapa.
Mkuu Anasema waathirika wasikae tu huko wanangoja hela za serikali kwa
sbb wanasikia zimechangwa,waanze kujisaidia kwanza wao na serikali
itawasaidia pale waliposhindwa.
Mkuu anasema mtu ukuta umedondoka, anataka asubiri serikali ndio
imtengenezee! Watu wajue tetemeko ni janga la asili halijaletwa na CCM.
Waanze kwa kujenga wenyewe kuta zilizodondoka sio wasubiri serikali,
sababu maisha yanendelea na watu wanatakiwa wafanye kazi kwa kujenga
nyumba zao na sio kila kitu serikali itafanya.
Na wale wanasiasa wanaotaka kutumia janga hili kujinufaisha kisiasa mkuu
anasema waache mara moja....Na kasema wote wanaotumia janga hili
kukusanya misaada kwa njia ya kitapeli, basi wakamatwe mara moja.
Related Posts:
#YALIYOJIRI>>>Serikali Yazifunga Redio 28 Kwa Kushindwa Kulipa Ada ya Leseni.Fahamu zaidi hapa.
Serikali
imezifungia redio 28 kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kushindwa
kulipa ada za leseni na kutimiza masharti yaliyowekwa na Mamlaka ya
Mawasiliano Tanzania (TCRA).
Akizungumza
jana jijini Da… Read More
#YALIYOJIRI>>>UKAWA washinda kiti ca Umeya Kinondoni, Dar es Salaam.Fahamu zaidi hapa.
Vyama vinavyounda UKAWA vimeibuka na ushindi katika uchaguzi wa Umeya wa
Manispaa ya Kinondoni baada ya kupata kura 38 dhidi ya CCM waliopata
kura 20.
Meya mpya ni Boniface Jacob. Manispaa ya Ilala zoezi bado linaende… Read More
#YALIYOJIRI>>>Mbunge wa Kawe Halima Mdee, Ashinda kesi ya Uchaguzi dhidi ya Kippi Warioba.Fahamu zaidi hapa.
Mahakama
Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imefuta kesi ya kupinga matokeo ya Uchaguzi
wa Ubunge, iliyofunguliwa na aliyekuwa mgombea wa kiti hicho kupitia
Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kippi Warioba, dhidi ya Mbunge wa Kawe,
H… Read More
#YALIYOJIRI>>>Bandarini Hapakaliki,Wakurugenzi Watatu Wapigwa Chini na Kuhamishiwa Wizarani, Vigogo TCAA Wasimamishwa Kwa Ufisadi.Fahamu zaidi hapa.
SERIKALI
imeendelea kuisafisha Bandari kwa kuwaondoa watendaji wa ngazi za juu
na kuwahamishia wizarani ili kuongeza ufanisi katika utendaji, sambamba
na kuongeza ukusanyaji wa mapato.
Wakati hayo yakitokea Bandar… Read More
#YALIYOJIRI>>Nape Aitaka Chadema Imtimue Lowassa.Fahamu zaidi hapa.
CCM
imemjibu mwanasheria Mkuu wa Chadema ikisema ili chama hicho kikuu cha
upinzani kionekane kinapambana na ufisadi kwa vitendo, kinatakiwa
kumuunga mkono Rais John Magufuli na kumvua uanachama Waziri Mkuu wa
zamani, … Read More
0 comments:
Post a Comment