Thursday 15 December 2016

BAADA ya Kusemekana Anaficha Ujauzito wa Ray, Picha ya CHUCHU Hans Akiwa Mjamzito Yanaswa.Fahamu zaidi hapa.

Baada ya Kusemekana kuwa Mwigizaji Chuchu Hans ni Mjamzito na kuwa anaficha watu wasijue  Wambea wa mjini tayari wamefuma picha yake akiwa ni Mama Kijacho...

Chuchu Hans Alikaririwa Akisema Haya:

“Unajua vitu kama hivyo ni too personal na nisingependa kuviongelea especially kwenye media. Lakini muda muafaka ukifika kila mmoja atajua nini ni nini, ila kwa sasa acha ikae hivyo watu waendelee kuhisi,” amesema muigizaji huyo.



Download  Application ya Hebron Male Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi


Bonyeza Hapa CLICK HERE

 

0 comments:

Post a Comment