Home »
Habari Moto
» #YALIYOJIRI>>>>Nguvu ya Lowassa yazidi kuyumbisha CCM.Fahamu zaidi hapa.
Wabunge wa CCM wameunda kamati maalumu ya wabunge 15 kwenda
kutathmini uchaguzi mkuu, badala ya kutegemea ripoti zinazotolewa na
makatibu wa wilaya na mikoa pekee.
Katibu wa wabunge hao, Jason Rweikiza alisema kamati ya wabunge hao
itawahoji wabunge wote wa CCM 267 kwa sababu ndiyo wahusika wakuu,
kuangalia changamoto walizokutana nazo.
Miongoni mwa wajumbe hao ni Joseph Mhagama, Dk Faustine Ndugulile,
Joseph Kakunda, Profesa Anna Tibaijuka, Mboni Mhita, Peter Serukamba,
Innocent Bashugwa, George Mkuchika, Munira Mustapha, Jasmini Tiisekwa na
Abdallah Ulega.
Katika hatua nyingine, CCM Mkoa wa Ruvuma imewatimua wanachama 62 kwa
usaliti ikiwamo kumuunga mkono Edward Lowassa katika Uchaguzi Mkuu
2015.
Related Posts:
Keko, Dar: Teja Afariki na Bomba la Sindano ya Madawa ya Kulevya Mkononi...!!!.Fahamu zaidi hapa.
Hapa DDC Keko, Dar es salaam, kwenye eneo la wazi, katika ukuta
unaotenganisha eneo hilo na National Hotel, wakazi wamekusanyika kwa
tahayuri baada ya kumuona kijana amelala ukutani na hapumui, inaonekana
ameshakufa mud… Read More
PolePole – Msiwe na Haraka Makonda Atashughulikiwa Kama Wanavyoshughulikiwa Wengine.Fahamu zaidi hapa.
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole amesema
taratibu zitafuatwa kuwawajibisha viongozi wake na wa serikali
wanaokabiliwa na tuhuma na madai mbalimbali.
Polepole amesema hayo jana katika Makala ya Kinag… Read More
#Breaking News>>>>Angalia LIVE Makonda akiongea,Awalipua bandarini na TRA.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
&… Read More
Baada ya Magufuli Kuwakaripia Wabunge wa CCM Waliopanga Kwenda Kumuona Lema Gerezani,Lema Aaandika Ujumbe Mzito kwa Rais Magufuli.Fahamu zaidi hapa.
MBUNGE wa Arusha Mjini, Godbless Lema ameibuka na kueleza kushangazwa na
kauli ya Rais Dk. John Magufuli kwamba wabunge wa CCM waliotaka kwenda
kumwona gerezani walikuwa wasaliti.
Lemsa alisema anatarajia Spika wa Bun… Read More
Baada ya Umoja wa Mataifa Kutangaza Kuingilia Sakata la Kupotea kwa Ben Saanane,Chadema Waibuka na Kutoa Tamko Hili Zito.Fahamu zaidi hapa.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeitaka Serikali
kupitia vyombo vyake vya Dola kutoa sababu za kufuta jalada la uchunguzi
wa Mkuu wa Idara ya Sera na Utafiti wa chama hicho, Ben Saanane ambaye
ametoweka t… Read More
0 comments:
Post a Comment