Home »
Michezo
» #MICHEZO>>>>MBUYU TWITE AONGEZA MKATABA YANGA.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Mbuyu
Twite akitia dolegumba kwenye fomu za Yanga kukamilisha mkataba wake
mpya wa miaka miwili na klabu hiyo, kushoto ni Mkuu wa Masoko wa Yanga
Omary Kaya
Baada ya kuenea kwa story nyingi mtaani kwamba klabu ya Yanga
imemtema mchezaji wake ‘kiraka’ Mbuyu Twite, leo imemuongeza mkataba
mpya wa kuendelea kusalia mtaa wa Twiga na Jangwani.
Twite ameongezewa mkataba wa miaka miwili kuendelea kuitumikia Yanga.
Nyota huyo amekuwa kwenye wakati mgumu wa kuwania nafasi kwenye
kikosi cha kwanza kutokana na kukumbwa na majeraha ya mara kwa mara.
0 comments:
Post a Comment