Home »
Michezo
» PICHA:Urembo wa Muamuzi Wasababisha Wachezaji Kushindwa Kucheza Mpira.Fahamu zaidi hapa.
Brazil ni moja ya nchi zilizobarikiwa na
warembo matata. Wiki hii katika mechi iliyochezwa na klabu ya Desire
dhidi ya Sporting katika mchezo ambao usio na ligi, lilikuwa kwa mshika
kibendera wa kike ambaye alikuwa anachezesha mechi hiyo.
Mrembo Denise Bueno ambaye alishika
kibendera katika mchezo huo kama muamuzi namba mbili aliwafanya
wachezaji washindwe kucheza mpira na muda mwingi kuchukuliwa
wakimshangaa yeye huku mpira unaendelea.
Tukio hilo lilitokea baada ya muamuzi
huyo kunywa maji na bahati mbaya yalimwagikia katika nguo yake ya juu
aliyoivaa na kusababisha sehemu ya mwili wake kuonekana kiurahisi.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
Related Posts:
#MICHEZO>>>YANGA YAOMBA IUTUMIE UWANJA WA AMAAN ZANZIBAR KWA LIGI KUU BARA.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Uongozi
wa klabu ya Yanga, umeandika barua kuomba kuutumia Uwanja wa Amaan
mjini Zanzibar kwa ajili ya mechi zake za Ligi Kuu Bara na mashindano
mengine.
Yanga
imechukua uamuzi huo baada ya Serikali kutangaza kuif… Read More
#MICHEZO>>>>Jamhuri Kiwelu Julio Ametangaza Rasmi Kuachana na Kazi ya Ukocha.Fahamu zaidi hapa.
Kocha wa klabu ya Mwadui FC ya Shinyanga Jamhuri Kiwelu Julio, October 2
2016 ametangaza kujiuzulu kufundisha soka la nchini Tanzania kufuatia
kutoridhishwa na maamuzi yanayofanywa na marefa uamuzi huo umeonekana
kuwasht… Read More
#MICHEZO>>>>Rigobert Song afikishwa hospitali kwa matatizo ya ubongo.Fahamu zaidi hapa.
Nahodha wa zamani wa timu ya taifa ya Cameroon na kocha wa
sasa wa timu ya taifa ya vijana wadogo ya Cameroon, Rigobert Song
amefikishwa mjini Yaounde, Cameroon baada ya kuugua ghafla.
Taarifa kutoka vyanzo vya ha… Read More
#MICHEZO>>>>VURUGU ETHIOPIA ZAAHIRISHA MECHI YA KIRAFIKI DHIDI YA TAIFA STARS.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Mechi ya kirafiki kati ya Taifa Stars dhidi ya Ethiopia iliyopangwa kufanyika Oktoba 8 mwaka huu, imeahirishwa.
Mechi hiyo iliyokuwa ichezwe mjini Addis Ababa imeahirishwa kutokana na vurugu zinazoendelea mjini humo.
… Read More
#MICHEZO>>>>>BALOTELLI BANA! KAIFUNGIA TIMU YAKE BAO LA USHINDI, NDANI YA DAKIKA 4 AKALA NJANO MBILI, IKAWA RED.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Ukitaka mwanao apate shida, mwite Balotelli, maana hili jina, mwenyewe Mario Balotelli ni shida tupu.
Jana
ameonyesha kweli ana uwezo wa kucheza soka, kafunga bonge la bao na
kuisaidie Nice kushinda kwa mabao 2-… Read More
0 comments:
Post a Comment