Home »
Habari Moto
» WAZIRI Nchemba Awasili Eneo yalipotokea Mauaji ya Polisi Wanane.Fahamu zaidi hapa.
Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu
Nchemba amewasili eneo yalipotokea mauaji ya askari wanane katika kijiji
cha Jaribu, Wilayani Kibiti.
Waziri Nchemba ameambatana na naibu wa wizara hiyo, Mhandisi Hamad Masauni.
Nchemba atatembelea kambi za askari polisi wa kanda ya Pwani na katika kata ya Bungu wilayani Kibiti.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Related Posts:
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Yasema Nafasi ya Sophia Simba Iko Wazi na Itajazwa Hivi Karibuni.Fahamu zaidi hapa.
Tume
ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza nafasi ya ubunge wa Viti Maalumu
iliyoachwa wazi na aliyekuwa Mwenyekiti wa Umoja Wanawake wa Chama Cha
Mapinduzi (UWT), Sophia Simba, ambaye alifukuzwa uanachama hivi
k… Read More
ARV Zaanza Kuzalishwa Arusha.Fahamu zaidi hapa.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy
Mwalimu amesema dawa za kufubaza makali ya virusi vya Ukimwi (ARV),
zitaanza kuzalishwa mkoani Arusha na Kiwanda cha TPI ARV Limited ambacho
tayari kimep… Read More
Dar Yazidi Kuongoza kwa Watoto wa Mitaani.Fahamu zaidi hapa.
Serikali imekiri kuwepo kwa ongezeko la watoto wanaoishi na kufanya kazi
mitaani hasa katika miji mikubwa nchini ambapo takwimu zinaonesha kuwa
Jiji la Dar es salaam linaongoza kwa asilimia 28 ya watoto hao nchini
Hay… Read More
Maswali Zaidi ya 1000 Yakosa Majibu Kuhusu Kutekwa na Kuachiwa kwa Roma Mkatoliki.Fahamu zaidi hapa.
Yanaweza yakafika maswali 1,000. Mijini na vijijini watu wanajiuliza
maswali na kama kila swali litachukuliwa kwa uzito, Roma Mkatoliki
atakuwa na kazi ya kujibu zaidi ya maswali 1,000 ya Watanzania.
Baadhi ya maswali… Read More
#VIDEO: "CAG"Kampuni zote za madini hazijawahi kulipa kodi, hapa kuna tatizo.Fahamu zaidi hapa.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
… Read More
0 comments:
Post a Comment