Sunday 9 August 2015

#Breaking News>>>Mbunge wa Chama cha CAF afariki.




Clara Mwatuka  Aliyekuwa Mbunge wa Viti maalumu CUF  amefariki dunia baada ya gari lake kupinduka lilipokuwa linashuka Makonde Plateu kuelekea Ndanda.

Gari hili lilikuwa linaendeshwa na dereva wake, ambaye inasemekana ni mwanaye. Maiti ipo chumba cha maiti cha Ndanda Regional Referral hospital.

 Chanzo
                 Picha, taarifa via sondacomblog.com

0 comments:

Post a Comment