Home »
Habari Moto
» #Breaking News>>>Ukweli wa Ibrahimu Lipumba kujiuzulu wenyekiti wa CAF huu hapa.
Alichokisema Ibrahimu Lipumba hikihapa.
'Nawaomba radhi sana Wanachama na Wananchi
walioniamini na kuonesha mapenzi makubwa ktk Uongozi wangu'
'Najua hili litawashtusha, litawakasirisha, litawafadhaisha. Ndani ya Chama
mimi naonekana ni kikwazo'
Naonekana siwezi kuwa na mchango kama Kiongozi ktk Mapambano ya kudai haki
sawa'
Nimeona niachie ngazi lakini niendelee kushiriki shughuli nyingine zinazohusu
Maendeleo ya Chama Kiuchumi'
'Ninaendelea kuwa Mwanachama wa CUF na nimelipia Kadi ya Uanachama mpaka 2020,
sina mpango wa Kujiunga ACT'
Taarifa ya kung'atuka niliitoa August 01 2015, nilisubiri kukamilisha masuala
ya UKAWA ndio nitoke'
'Naubariki Umoja wa UKAWA ili tusimamie kupata Katiba iliyopendekezwa na
Wananchi'
'Ni kweli nilishiriki kumkaribisha Lowassa UKAWA lakini dhamira na nafsi yangu
inanisuta'-
'Tumekaribisha watu wa CCM ambao waliipinga Rasimu ya Katiba, najiuliza
tutaweza kusimamia malengo ya UKAWA'
'Nimeona nijikite kwenye kufanya Utafiti wa Ushauri wa masuala ya Uchumi ili
kuinua Uchumi wa nchi'
Sijashawishiwa na mtu yoyote kuachia ngazi,ni dhamira na nafsi yangu..
asisingiziwe mtu kwamba amenishauri'
'CUF bado imo ndani ya UKAWA, nitashiriki Kampeni za Uchaguzi kama mwanachama
wa kawaida wa CUF'
VIDEO
Related Posts: Uganda Yafuata Nyayo za Tanzania Yapiga Stop Bunge Kuonyeshwa Live.
Vyombo vya habari nchini Uganda vimezuiwa kuonyesha moja kwa moja matangazo ya Bunge ambalo linaendelea na vikao.
Mkurugenzi wa Tume ya Utangazaji nchini humo, Godfrey Mutabuzi amesema
redio na runinga zote haziruhusiwi k… Read More Chadema Wapingana na Mwigulu Yasimamia Msimamo Wake wa Uchunguzi Kutoka Nje Shambulio la Lissu.
Chadema imesema haitabadili msimamo wake wa kutaka wataalamu kutoka nje
kuchunguza shambulio dhidi ya mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu.
Juzi, Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba alisema hakuna haja ya
kuhan… Read More Soma Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo.
Job Opportunity at Info-Consultancy Ltd, Sales Representative
Job Opportunity at Bluebay Hotels, General Manager
Job Opportunity at World Vision, ICT-Officer
Job Opportunity at Mamujee Products Ltd, Quality Inspector
Jo… Read More Pendeza na Dar Empire Products: Badili Muonekano Wako na Kuweka Mwili Wako Sawa Bila Madhara yoyote.
PENDEZA NA DAR EMPIRE PRODUCTS: BADILI MUONEKANO WAKO NA KUWEKA MWILI WAKO SAWA
KWA PRODUCT ZISIZO NA MADHARA YEYOTE WALA KEMIKALI, MATOKEO NI
KWAARAKA.
1)ONDOA NYAMA UZEMBE MIKONONI, KIUNONI KUPAK
2)TOA K… Read More Msigwa Afikishwa Mahakamani kwa Tuhuma za Kutishia Kuua.
Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa amepandishwa kizimbani
leo Alhamisi katika Mahakama ya Mwanzo Mjini Iringa kwa madai ya kumtusi
na kutishia kumuua aliyekuwa Diwani wa Kata ya Kitwiru, Baraka Kimata.
Mbali … Read More
0 comments:
Post a Comment